Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maabara ya kupima ubora wa bidhaa kujengwa Dar

UJENZI wa maabara kubwa ya kisasa ya kupima ubora wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini utaanza karibuni Ubungo, Dar es Salaam, kwa msaada wa Serikali ya China. Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mussa Uledi alisema, maabara hiyo itakayogharimu Sh bilioni 10, itamaliza adha mbalimbali za kimaabara zinazojitokeza, ikiwemo kuwekwa sakafuni kwa sampuli zisizostahili kuwekwa chini kama vile vyakula.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TIRDO wamiliki maabara ya kupima ubora wa chakula

WAMILIKI wa viwanda na wafanyabiashara wa vyakula wameshauriwa kutumia maabara ya kisasa ya kupimia ubora wa chakula ya Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda (TIRDO).

 

10 years ago

Mwananchi

Ubora wa taaluma ya uhandisi kujengwa na kiapo pekee?

Bodi ya Usajili wa Wahandisi imekuwa ikiwaapisha wahandisi kama njia mojawapo ya kudhibiti maadili ya taaluma hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa maabara ya kupima wanariadha ajiuzulu

Kiongozi mkuu wa maabara inayohusika na uchunguzi wa wanariadha wanaotumia dawa za kusisimua misuli amejiuzulu.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema Tanzania haina maabara yenye uwezo wa kuthibitisha vipimo vya ebola hivi sasa na kwamba inapotokea mtu kudhaniwa kuathiriwa na virusi vya ugonjwa huo, vipimo vyake ni lazima vithibitishwe nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunatumia vigezo vipi kupima ubora wa elimu yetu?

Waandishi Daniel Sifuna na Nobuhide Sawamura katika kitabu chao: ‘Challenges of Quality Education in Sub-Saharan African Countries,’ wanasema kuwa wasomi na wataalamu wa elimu duniani wanatofautiana katika kuelezea maana ya elimu bora au ubora wa elimu.

 

10 years ago

Habarileo

Maabara Muhimbili yapata ubora wa kimataifa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia kitengo cha maabara imepokea cheti cha kimataifa cha ithibati kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Viwango (ISO) baada ya kuonekana kutoa huduma bora za kitabibu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na ubora wa bidhaa

Baadhi ya bidhaa zinazoingizwa nchini Tanzania zimeelezwa kutokuwa na viwango wala nembo za ubora.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Nunueni bidhaa zenye ubora’

WATANZANIA wameshauriwa kununua bidhaa zenye ubora za Panasonic na kuachana na zingine zilizopo katika soko ambazo hazina ubora. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi  wa Masoko wa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bidhaa nchini hazina ubora’

Bidhaa nyingi nchini zimeendelea kushindwa kuingia kwenye masoko ya ndani na nje kutokana na changamoto za vifungashio, nembo na alama za mistari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani