Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubora wa taaluma ya uhandisi kujengwa na kiapo pekee?

Bodi ya Usajili wa Wahandisi imekuwa ikiwaapisha wahandisi kama njia mojawapo ya kudhibiti maadili ya taaluma hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA ALA KIAPO RASMI CHA UHANDISI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (PE. 1656) akila kiapo rasmi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa Msomi Enock Kasian Matembele kwa mujibu wa sheria ya usajili wa wahandisi (Engineer's Registration Act (Cap 63), Kanuni na sheria ndogo zote zilizowekwa na zitakazowekwa ikiwemo mwendo wa utendaji kazi pamoja na maadili katika taaluma ya uhandisi. 

Kiapo hicho kimeafanyika leo katika ukumbi wa "video comference" uliopo katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo leo tarehe...

 

10 years ago

Habarileo

Maabara ya kupima ubora wa bidhaa kujengwa Dar

UJENZI wa maabara kubwa ya kisasa ya kupima ubora wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini utaanza karibuni Ubungo, Dar es Salaam, kwa msaada wa Serikali ya China. Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mussa Uledi alisema, maabara hiyo itakayogharimu Sh bilioni 10, itamaliza adha mbalimbali za kimaabara zinazojitokeza, ikiwemo kuwekwa sakafuni kwa sampuli zisizostahili kuwekwa chini kama vile vyakula.

 

11 years ago

Mwananchi

Kituo kutoa mafunzo ya uhandisi, usanifu

Zaidi ya wataalamu 1,200 wa fani ya uhandisi, usanifu majengo na usimamizi wa miradi, wanatarajiwa kuingizwa kwenye soko la ajira nchini kila mwaka kutokana na uanzishwaji wa Kituo cha Mafunzo cha Computer Aided Drafting & Design (CADD) .

 

11 years ago

Habarileo

Wajibuni wanaochafua uhandisi jeni -Malima

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima ametaka wanasayansi na watafiti nchini wasikae kimya badala yake wawajibu wanaharakati wanaowachafua kuhusu matumizi ya teknolojia ya uhandisi jeni (GMO) bila kuwa na ushahidi wa madai yao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi wa uhandisi asaidia kuunda Barakoa,Tunisia

Mwanafunzi wa uhandisi ,Taha Grach asaidia Tunisia kwa kutengeza barakoa za muundo wa 3D

 

11 years ago

Mwananchi

NIT kuanzisha kozi ya urubani, uhandisi Julai

Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kinatarajia kuanzisha kozi mpya ya mafunzo ya urubani na uhandisi wa ndege, ili kutoa fursa kwa vijana kujifunza fani hiyo ndani ya nchi tofauti na sasa.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mpishi wa filamu za Bongo Movie aliyeweka kapuni’ shahada ya uhandisi

Mtunzi na mwongozaji wa filamu maarufu za Bongo Movie, Daniel Leonard Manege ametangaza kuachia filamu mpya akilezeza kuwa atatumia mfumo tofauti wa masoko ili kuhakikisha filamu hiyo iitwayo “Safari ya Gwalu” inawafikia wananchi katika ubora unaotakiwa.

 

11 years ago

Michuzi

Kituo cha mafunzo chazinduliwa kuiongezea thamani soko la ajira la uhandisi na usimamizi wa miradi

 Debra Backlund, one of the founders of Desktop Publishing Institute (DPI) speaks during the launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering and project management job sector annually. Right is Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa and center is Director at CADD Center Dar es Salaam Shafiq Abdulrasul.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya ushauri wa Uhandisi wa Ujenzi toka Misri

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa Wataalamu wa Ujenzi, Miundo mbinu pamoja na usanifu Miji ya Kisasa wa Taasisi ya Ushauri wa Uhandisi { ECG } Kutoka Nchini Misri. Ujumbe huo unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi hiyo Mhandisi Amr Alouba upo Nchini kuangalia maeneo ambayo unaweza kushirikiana na Zanzibar katika Sekta ya Uwekezaji. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani