Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha mafunzo chazinduliwa kuiongezea thamani soko la ajira la uhandisi na usimamizi wa miradi

 Debra Backlund, one of the founders of Desktop Publishing Institute (DPI) speaks during the launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering and project management job sector annually. Right is Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa and center is Director at CADD Center Dar es Salaam Shafiq Abdulrasul.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kituo kutoa mafunzo ya uhandisi, usanifu

Zaidi ya wataalamu 1,200 wa fani ya uhandisi, usanifu majengo na usimamizi wa miradi, wanatarajiwa kuingizwa kwenye soko la ajira nchini kila mwaka kutokana na uanzishwaji wa Kituo cha Mafunzo cha Computer Aided Drafting & Design (CADD) .

 

9 years ago

Vijimambo

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

Mheshimiwa Balozi Wilson Masilingi kwenye picha ya pamoja na watanzania washiriki mafunzo ya uimarishaji na
usimamizi wa miradi ya ushirikiano kwa njia ya Public Private Partneship hasa sekta ya nishati na madini walipofika kutembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC .Baadhi ya Washiriki wa semina kutoka wizara mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Mhe Balozi Wilson Masilingi alipokua akiwakaribisha na kutoa yake machache.
Pichani ni waandaaji wa semina hiyo waliokua wameongozana na wenyeji...

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha redio chazinduliwa Mkanyageni

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea kuruhusu kuanzishwa kwa redio za kijamii, kutokana na umuhimu wake katika kuhimiza maendeleo na kutumika kama daraja kati ya wananchi na serikali yao.

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha kutibu saratani chazinduliwa Aga Khan

SERIKALI imesema iko kwenye mchakato wa kuanzisha mfumo wa elektroniki katika hospitali zote nchini, kusimamia utendaji wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na kuhakikisha dawa zote zinawafikia walengwa. Pia, imesema kutokana na kuongezeka tatizo la saratani nchini, inatarajia kuanzisha vituo viwili vya matibabu ya ugonjwa huo katika mikoa ya Mbeya na Kilimanjaro.

 

9 years ago

GPL

KITUO CHA UFUATILIAJI WA UCHAGUZI TANZANIA (CEMOT) CHAZINDULIWA

Kutoka kushoto ni viongozi wa CEMOT, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti mwenza kutoka Tanzania Civil Society Consortium on Election Observation (TACCEO), Martina Kabisama, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen.…

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha Walimu (Teachers Resource Center) Tarafa ya Mbagala chazinduliwa

Kituo cha Walimu Mbagala ( Teachers Resource Center ) kimezundiliwa leo na Mgeni rasmi alikuwa Ndg. Phares Magesa , Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ambapo aliwaomba wadau wote wa elimu nchini kusaidia jitihada za Serikali katika kuinua kiwango Cha elimu nchini. Kituo hicho Cha Mbagala kina hudumia kata 12 zenye shule zaidi ya 48 , Mgeni rasmi alishukuru PSPF ambao walikuwepo kwenye tukio hilo kama wadau na waliahidi kusaidia kituo ili kiweze kutoa huduma bora zaidi kwa Walimu na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mlata atoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.7 kwa kituo cha afya cha Sokoine

DSC00141

Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.

DSC00145

Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...

 

10 years ago

Michuzi

Kituo cha Jimolojia kuwezesha uongezaji thamani madini nchini

Mratibu wa Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) Mussa Shanyangi (wa pili kulia), akiwaonesha Mkurugenzi wa Manunuzi Wizara ya Nishati na Madini Amon Makachayo (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Habari na Teknolojia Francis Fungameza namna mashine ya kukata mawe inavyofanya kazi.Baadhi ya Wanafunzi katika kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) waki polish mawe wakati wa mafunzo. Wanafunzi hao wako katika mafunzo ya ukataji na unga’rishaji madini katika kituo hicho.Meneja Mradi...

 

9 years ago

Michuzi

MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.

Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga.  Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga.  Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani