Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha redio chazinduliwa Mkanyageni

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea kuruhusu kuanzishwa kwa redio za kijamii, kutokana na umuhimu wake katika kuhimiza maendeleo na kutumika kama daraja kati ya wananchi na serikali yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kituo cha kutibu saratani chazinduliwa Aga Khan

SERIKALI imesema iko kwenye mchakato wa kuanzisha mfumo wa elektroniki katika hospitali zote nchini, kusimamia utendaji wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na kuhakikisha dawa zote zinawafikia walengwa. Pia, imesema kutokana na kuongezeka tatizo la saratani nchini, inatarajia kuanzisha vituo viwili vya matibabu ya ugonjwa huo katika mikoa ya Mbeya na Kilimanjaro.

 

9 years ago

GPL

KITUO CHA UFUATILIAJI WA UCHAGUZI TANZANIA (CEMOT) CHAZINDULIWA

Kutoka kushoto ni viongozi wa CEMOT, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti mwenza kutoka Tanzania Civil Society Consortium on Election Observation (TACCEO), Martina Kabisama, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen.…

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha Walimu (Teachers Resource Center) Tarafa ya Mbagala chazinduliwa

Kituo cha Walimu Mbagala ( Teachers Resource Center ) kimezundiliwa leo na Mgeni rasmi alikuwa Ndg. Phares Magesa , Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ambapo aliwaomba wadau wote wa elimu nchini kusaidia jitihada za Serikali katika kuinua kiwango Cha elimu nchini. Kituo hicho Cha Mbagala kina hudumia kata 12 zenye shule zaidi ya 48 , Mgeni rasmi alishukuru PSPF ambao walikuwepo kwenye tukio hilo kama wadau na waliahidi kusaidia kituo ili kiweze kutoa huduma bora zaidi kwa Walimu na...

 

9 years ago

Bongo5

Kituo cha redio cha Hits FM, Zanzibar chavamiwa na kuchomwa moto

Coke

Kituo cha redio cha Hits FM cha visiwani Zanzibar, kimevamiwa na watu wasiojulikana na kuchomwa moto.

12308679_1177170362297453_505009909615889248_n
Studio za Hits FM baada ya kuchomwa moto

Naibu Kamishna wa Polisi visiwani humo, Salim Msangi ameiambia Radio One kuwa tukio hilo lilitokea saa saba na dakika 40 usiku.

Amesema watu hao waliofika kwenye studio hizi walimdhibiti mtangazaji huyo na kumziba mdomo na macho na kisha kutumia mito na makochi yalikuwepo hapo kukichoma.

Mtangazaji huyo aliyekuwa peke yake, alisema watu hao walikuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Kituo cha mafunzo chazinduliwa kuiongezea thamani soko la ajira la uhandisi na usimamizi wa miradi

 Debra Backlund, one of the founders of Desktop Publishing Institute (DPI) speaks during the launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering and project management job sector annually. Right is Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa and center is Director at CADD Center Dar es Salaam Shafiq Abdulrasul.

 

9 years ago

Mtanzania

Kituo cha Redio chachomwa Z’bar

20151203044410-8Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

WATU wasiojulikana wakiwa na silaha wamevamia studio za kituo cha Radio Hits FM kilichopo eneo la Migombani mjini Unguja na kukichoma moto kwa kutumia mafuta yanayosadikiwa kuwa ni petroli.

Akizungumza jana mjini Unguja, msemaji wa kituo hicho, Juma Ayoub Amohamed, alisema tukio hilo lilitokea saa 7:30 usiku wa kuamkia jana ambapo zaidi ya watu 15 walivamia studio hiyo na kufanikiwa kuchoma moto.

Alisema hadi sasa bado hawajajua nini chanzo cha kufanyiwa hivyo, na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini

Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert  litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei  kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyani wazima kituo cha redio Zimbabwe

Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kituo cha redio kimechomwa moto Zanzibar

Kituo kimoja cha redio kimechomwa moto na watu wasiojulikana huko visiwani Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani