Kituo cha redio cha Hits FM, Zanzibar chavamiwa na kuchomwa moto
Kituo cha redio cha Hits FM cha visiwani Zanzibar, kimevamiwa na watu wasiojulikana na kuchomwa moto.
Studio za Hits FM baada ya kuchomwa moto
Naibu Kamishna wa Polisi visiwani humo, Salim Msangi ameiambia Radio One kuwa tukio hilo lilitokea saa saba na dakika 40 usiku.
Amesema watu hao waliofika kwenye studio hizi walimdhibiti mtangazaji huyo na kumziba mdomo na macho na kisha kutumia mito na makochi yalikuwepo hapo kukichoma.
Mtangazaji huyo aliyekuwa peke yake, alisema watu hao walikuwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Kituo cha redio kimechomwa moto Zanzibar
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kituo kingine cha polisi chavamiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL8B2fQNibjloNJ4nr1KUCPNtUdkmUIgA3Ojjra1PNLj62bYeNfqzbfxotlj-bgmIARQkp2QC0Me-BzsbYNjKUXo/breakingnews.gif)
KITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
Dewji Blog08 May
Kituo cha redio cha Efm chamkumbuka mwanamuziki Juma Nature kwa mchango wake katika muziki nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-yMTInvMETOk/VUw59V-lecI/AAAAAAAAQCE/vm-0zsAz7sw/s640/DU7C5232.jpg)
Mkuu wa Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamasha lijulikalo kama Komaa Concert litalofanyika mwishoni mwa mwezi mei kwa ajili ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki ya msanii Juma Nature ‘maarufu Kiroboto’ namna ya kuonesha kuthamini mchango wake katika muziki wa bongo fleva na kuwakumbusha watanzania juu ya safari ya muziki wa Tanzania kwa ujumla. Kulia ni mwanamuziki huyo, Juma Nature...
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hKOamXp0zn4/VO09qHmpgkI/AAAAAAAHFvQ/kWhx-hjJfMI/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar atembelea kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wyK9bAs*AkU13ustQYQE0-HtFTdioX3twxfGLJfJeChBQfsrIZOwtXCdgKcjBngG6rUbWJGnJyec5qL3tiQijDvqhyvwzyBO/unnamed25.jpg?width=650)
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCJjE4najr9bCzxEfpLHWJYpa8sHvxa3iQXBKhWphJ3HUGnCtO3BZ1S6mQPm*aDI536ksKGoBNNs4VV72Yl8zq4G/moto1.jpg?width=650)
MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI