Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI

Askari wa kikosi cha Zimamoto wakifika eneo la tukio. Wananchi wakishuhudia juhudi za kuzima moto.
Moto ukiendelea.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Moto wateketeza kituo cha kupozea umeme cha mjini Moshi asubuhi hii

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.  Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.  Globu ya jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata...

 

10 years ago

Vijimambo

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA PANONE YAWAKUMBUKA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA GABRIELA CHA MJINI MOSHI

Wafanyakazi wa kampuni ya Mafuta ya Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.Afisa uhusiano wa timu ya soka ya Panone fc Kassmi Mwinyi akitoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Meneja Masoko wa Kampuni ya Panone Frank Mwaikatale akigawa zawadi ya mikate kwa watoto wanaolelewa katika  kituo cha Gabriela cha mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWS;KITUO CHA POLISI MOSHI KINAWAKA MOTO

TAARIFA ZA UHAKIKA ZILIZOTUFIKIA KATIKA CHUMBA CHA HABARI YA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,ZINAELEZA KUWA KITUO CHA POLISI MOSHI MKOANI KILIMANJARO KINAWAKA MOTO,AIDHA MPAKA SASA CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAJULIKANA.
HABARI ZAIDI TUTAZIDI  KUWALETEA KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA AFRICAN MUSLIM MJINI MOSHI HIVI SASA

 Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linateketea kwa moto hivi sasa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza majira ya saa 2 za usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana na ripota wetu Dixon Busagaga aliye eneo la tukio anafuatilia ajali hii na atatujulisha kila kitachojiri na kupatikana.Kikosi cha zimamoto kimefanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Mhagama avutiwa na kituo cha kuzalisha Umeme Vijijini cha Kikuletwa

Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua chanzo cha kuzalisha Umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro ambacho kimekabidhiwa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kwaajili ya kukitumia kufundishia na kuzalisha umeme vijijini,kushoto ni Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika. Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua moja ya Transfoma iliyokua ikitumika kabla ya Tanesco kuacha kukitumia kituo hicho miaka ya 1980. Naibu Waziri ,Jenista Mhagama na Mkuu Chuo,Dk Richard Masika ...

 

10 years ago

Habarileo

Bunju wateketeza kituo cha Polisi

WANANCHI wa Bunju jijini Dar es Salaam wamechoma moto kituo cha polisi cha Bunju A na gari lililodaiwa kusababisha ajali ya mwanafunzi na kusababisha kifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani