Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo kutoa mafunzo ya uhandisi, usanifu

Zaidi ya wataalamu 1,200 wa fani ya uhandisi, usanifu majengo na usimamizi wa miradi, wanatarajiwa kuingizwa kwenye soko la ajira nchini kila mwaka kutokana na uanzishwaji wa Kituo cha Mafunzo cha Computer Aided Drafting & Design (CADD) .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kituo cha mafunzo chazinduliwa kuiongezea thamani soko la ajira la uhandisi na usimamizi wa miradi

 Debra Backlund, one of the founders of Desktop Publishing Institute (DPI) speaks during the launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering and project management job sector annually. Right is Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa and center is Director at CADD Center Dar es Salaam Shafiq Abdulrasul.

 

10 years ago

Habarileo

Veta kutoa mafunzo sehemu za kazi

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema inalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa kupitia Mpango wa Uanagenzi Pacha, ambao unatoa kipaumbele zaidi cha mafunzo sehemu za kazi kuliko darasani na hivyo kutoa fursa pana za kujifunza kwa vitendo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AMTZ kutoa mafunzo upigaji ala

TAASISI ya Action Music Tanzania (AMTZ), inatarajiwa kuanza kutoa mafunzo ya kupiga ala za muziki yatakayofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia kesho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na AMTZ jana,...

 

11 years ago

Dewji Blog

EOTF kutoa Mafunzo kwa Wanawake Wajasiriamali bure

DSC_4478

Mkurugenzi Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi, ni mmoja wa watoa mada katika semina hiyo.

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha Semina ya mafunzo ya siku 3 kwa Wanawake Wajasiriamali itakayofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2014, kuanzia saa 2 asubuhi katika ukumbi wa JKT Mgulani, Temeke,jijini Dar es salaam.   Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kupata mitaji kwa ajili ya biashara, masoko pamoja na stadi za ujasiriamari.   Katika...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO KWA SUDANI YA KUSINI

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Eng. Christopher Kajoro Chiza (Mb) akifanya mazungumzo na Mhe. Jenerari James Wani Igga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Sudani Kusini ofini kwake .
Na Bashiri Kalum 
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Eng Christopher Kajoro Chiza,( MB), amesema Tanzania ipo tayari kuendesha mafunzo ya kilimo katika vyuo vyake vya kilimo kwa wananchi wa Sudani, kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya shahada na kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na Sudani...

 

11 years ago

Michuzi

HAPNESS MAGESE KUTOA MAFUNZO KUHUSIANA UGONJWA WA ‘Endometriosis’

Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2001,Hapiness Millen Magese akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam Mey 28,2014 kuhusu kuanzishwa kwa Kampeni ya kuhamasisha wanawake na vijana kupaza sauti zao wanaposumbuliwa na ugonjwa wa ‘Endometriosis’ baada ya yeye kuathirika na Ugonjwa huo kwa kipindi kirefu.ambapo amesema wanawake wengi na wasichana wamekuwa wakisumbuliwa lakini...

 

10 years ago

Michuzi

TRA kutoa mafunzo ya ukusanyaji kodi wa washiriki 150


 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akikata utepe kwenye boksi lililokuwa na Mtaala utakaotumia katika mafunzo hayo wakati wa ufunguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kushoto ni Mkuu wa Chuo cha uongozi wa Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade (kulia) akionesha mtaala utakaotumika katika mafunzo ya washiriki 150 waliodahiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kushoto ni Mkuu wa Chuo cha...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali kuendelea kutoa mafunzo ya cheti cha sheria

SERIKALI imesema itaendelea kutoa mafunzo ya ngazi ya cheti na stashahada katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kwa kuwa bado inawahitaji wataalamu hao.

Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi).

Katika swali lake, Machali, alihoji uhalali wa Serikali kupoteza fedha kwa ajili ya kutoa mafunzo ya cheti na stashahada katika chuo hicho wakati haiajiri tena...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani