Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yapata ubora wa kimataifa


NA RACHEL KYALA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepata cheti cha kiwango cha ubora kutoka Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), kutokana na  kukidhi vigezo vya utoaji huduma kwa jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa cheti hicho, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma, alisema mamlaka hiyo imepata cheti hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kudhibiti sekta ya mawasiliano ikiwemo kujulikana kimataifa.
“Tulikwenda shule chini ya Shirika la Viwango Nchini (TBS),...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maabara Muhimbili yapata ubora wa kimataifa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia kitengo cha maabara imepokea cheti cha kimataifa cha ithibati kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Viwango (ISO) baada ya kuonekana kutoa huduma bora za kitabibu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA yapata cheti cha kimataifa

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kuboresha sekta hiyo, baada ya kukabidhiwa cheti cha kiwango cha kimataifa na Shirika la Viwango Duniani. Cheti hicho kilikabidhiwa jijini Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...

 

10 years ago

Michuzi

TCRA YAPATA MKURUGENZI MKUU MPYA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), kwa mamlaka aliyonayo chini ya Sheria Na. 12 ya mwaka 2003 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Kifungu cha 13  (1) amemteua Dkt. Ally Yahaya Simba  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 6 Julai 2015.  
Kabla ya  uteuzi huo, Dkt. Ally Yahaya Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Mawasiliano,...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA yapata manufaa katika usajili wa Laini za Simu kwa Alama za Vidole.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba akizungumza katika Siku ya Walaji ambayo huadhimishwa kila Machi 15 Duniani ya kila mwaka.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Fredrick Ntobi akitoa maelezo kuhusiana na maadhinisho ya Siku ya Walaji ambayo huadhimishwa kila Machi 15 ya Kila Mwaka Mkutano uliofanyika makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMAMLAKA ya Mawasiliano nchini(TCRA)...

 

9 years ago

Habarileo

‘Sampuli zina ubora wa kimataifa’

TAASISI ya Twaweza imesema inaziamini kwa asilimia 95 sampuli zilizotumika kukusanya taarifa ya utafiti kuhusu ‘Sauti za Wananchi’ kwenye siasa na kusisitiza kuwa sampuli hizo zina ubora wa kimataifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kupata alama ya ubora wa kimataifa

Katika uzalishaji wa bidhaa, viwango vya bidhaa ni kitu cha muhimu. Alama ya ubora ya kimataifa hutolewa na Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), ambalo lina wanachama zaidi ya nchi 160 duniani.

 

11 years ago

GPL

VIDEO CHAFU BONGO FLEVA, NDIYO UBORA WA KIMATAIFA?

Malikia wa Bongo Fleva na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed 'Shilole'. KWENU,Wasanii wa Bongo Fleva. Mnanishangaza sana. Kwa muda mrefu kumekuwa na tatizo la mmomonyoko wa maadili kwa wasanii wa Bongo Muvi. Wamepewa majina yote machafu. Wameonekana ndiyo wavunjifu wakubwa wa maadili. Wamekutana na maswali mengi sana huko mitaani; kama wao ni kioo cha jamii, kwa nini wanavaa kihasarahasara? Ni jambo lililoibua maneno sana...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YANYAKUA TUZO YA UBORA WA HUDUMA YA ISO KIMATAIFA

MFUKO wa Pensheni wa PPF, umepewa cheti cha ubora wa utoaji huduma kimataifa kwa wananchi (ISO) baada ya kukidhi mashariti na vigezo.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio alitoa taarifa hiyo leo Ijumaa  na kusema kuwa walipewa tangu Machi 28, mwaka huu.

Alisema wamepewa cheti chenye namba 9001:2008 na kuanzia mwezi Mei, mwaka huu huduma za PPF zinaza kutambulika kimataifa.

“ISO walikuja nchini wakatukagua wakalidhika na viwango vya huduma zetu tunazotoa na wakatupatia cheti cha ubora,” alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani