Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sampuli zina ubora wa kimataifa’

TAASISI ya Twaweza imesema inaziamini kwa asilimia 95 sampuli zilizotumika kukusanya taarifa ya utafiti kuhusu ‘Sauti za Wananchi’ kwenye siasa na kusisitiza kuwa sampuli hizo zina ubora wa kimataifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

TCRA yapata ubora wa kimataifa


NA RACHEL KYALA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepata cheti cha kiwango cha ubora kutoka Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), kutokana na  kukidhi vigezo vya utoaji huduma kwa jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa cheti hicho, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma, alisema mamlaka hiyo imepata cheti hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kudhibiti sekta ya mawasiliano ikiwemo kujulikana kimataifa.
“Tulikwenda shule chini ya Shirika la Viwango Nchini (TBS),...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kupata alama ya ubora wa kimataifa

Katika uzalishaji wa bidhaa, viwango vya bidhaa ni kitu cha muhimu. Alama ya ubora ya kimataifa hutolewa na Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), ambalo lina wanachama zaidi ya nchi 160 duniani.

 

10 years ago

Habarileo

Maabara Muhimbili yapata ubora wa kimataifa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kupitia kitengo cha maabara imepokea cheti cha kimataifa cha ithibati kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Viwango (ISO) baada ya kuonekana kutoa huduma bora za kitabibu.

 

10 years ago

Michuzi

PPF YANYAKUA TUZO YA UBORA WA HUDUMA YA ISO KIMATAIFA

MFUKO wa Pensheni wa PPF, umepewa cheti cha ubora wa utoaji huduma kimataifa kwa wananchi (ISO) baada ya kukidhi mashariti na vigezo.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio alitoa taarifa hiyo leo Ijumaa  na kusema kuwa walipewa tangu Machi 28, mwaka huu.

Alisema wamepewa cheti chenye namba 9001:2008 na kuanzia mwezi Mei, mwaka huu huduma za PPF zinaza kutambulika kimataifa.

“ISO walikuja nchini wakatukagua wakalidhika na viwango vya huduma zetu tunazotoa na wakatupatia cheti cha ubora,” alisema...

 

11 years ago

GPL

VIDEO CHAFU BONGO FLEVA, NDIYO UBORA WA KIMATAIFA?

Malikia wa Bongo Fleva na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed 'Shilole'. KWENU,Wasanii wa Bongo Fleva. Mnanishangaza sana. Kwa muda mrefu kumekuwa na tatizo la mmomonyoko wa maadili kwa wasanii wa Bongo Muvi. Wamepewa majina yote machafu. Wameonekana ndiyo wavunjifu wakubwa wa maadili. Wamekutana na maswali mengi sana huko mitaani; kama wao ni kioo cha jamii, kwa nini wanavaa kihasarahasara? Ni jambo lililoibua maneno sana...

 

5 years ago

Michuzi

BONGOZOZO: KUNYWENI MAZIWA YA ASAS YANA UBORA WA KIMATAIFA

Mkurugenzi wa kampuni ya Maziwa ya Asas, Ahmed Salim Abri akiwa na balozi Maziwa ya AsasNick Reynolds ‘Bongo Zozo’ wakizungumza na wandishi wa habari mkoani Iringa,mara baada ya kumtangaza rasmi Bongozozo kuwa balozi wa kampuni hiyo.

Mkurugenzi wa kampuni ya Maziwa ya Asas, Ahmed Salim Abri akiwa na balozi Maziwa ya AsasNick Reynolds ‘Bongo Zozo’ wakizungumza na wandishi wa habari mkoani Iringa,mara baada ya kumtangaza rasmi Bongozozo kuwa balozi wa kampuni hiyo.
BALOZI wa kampuni ya Maziwa...

 

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER YASHINDA TUZO LA UBORA KIMATAIFA 2014

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akionyesha moja ya tuzo za dhahabu ilizowahi kupata wakati wa mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam.
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo...

 

10 years ago

Vijimambo

PPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akiwa ameshika cheti cha kuthibititshwa kwa Ubora wa huduma zao na Shirika la Viwango la Kimataifa la ISO na kupatiwa cheti namba ISO 9001:2008. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa PPF, Ndg Julius Kam Mganga na kulia ni Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo Swai.Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, Ndg William Erio (katikati) akifafanua juu ya hatua zilizofuatwa na Shirika la Viwango vya Kimataifa na...

 

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa. Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani