PPF YANYAKUA TUZO YA UBORA WA HUDUMA YA ISO KIMATAIFA
![](http://1.bp.blogspot.com/-_w9x55gDGrc/VWiR43w1wKI/AAAAAAAAUQM/fiPQZmem3i0/s72-c/E1B.jpg)
MFUKO wa Pensheni wa PPF, umepewa cheti cha ubora wa utoaji huduma kimataifa kwa wananchi (ISO) baada ya kukidhi mashariti na vigezo.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio alitoa taarifa hiyo leo Ijumaa na kusema kuwa walipewa tangu Machi 28, mwaka huu.
“ISO walikuja nchini wakatukagua wakalidhika na viwango vya huduma zetu tunazotoa na wakatupatia cheti cha ubora,” alisema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPPF yapata cheti cha ubora wa kimataifa ISO 9001:2008
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-icxoB0KrQmI/U4dvzr_41AI/AAAAAAAFmUI/PSglYTQrW5g/s72-c/unnamed.jpg)
BIA YA SAFARI LAGER YASHINDA TUZO LA UBORA KIMATAIFA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-icxoB0KrQmI/U4dvzr_41AI/AAAAAAAFmUI/PSglYTQrW5g/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-oe3dbXMrJTE/U4dwAln2YxI/AAAAAAAFmUQ/O6828cn9K8c/s1600/unnamed.jpg)
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo...
11 years ago
MichuziBIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”
10 years ago
MichuziPPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...
10 years ago
Michuzi14 Dec
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed267.jpg)
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
TCRA yapata ubora wa kimataifa
NA RACHEL KYALA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepata cheti cha kiwango cha ubora kutoka Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), kutokana na kukidhi vigezo vya utoaji huduma kwa jamii.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa cheti hicho, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma, alisema mamlaka hiyo imepata cheti hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kudhibiti sekta ya mawasiliano ikiwemo kujulikana kimataifa.
“Tulikwenda shule chini ya Shirika la Viwango Nchini (TBS),...