Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia).  Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lapamba moto

Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendeleajijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume. Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendeleajijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume.Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendelea jijini Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karume. Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendelea jijini Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karume.Mmoja wa wazazi waliowaleta watoto wao kwa ajili ya zoezi la uandikishaji Vijana Kuingia NSSF- Real Madrid Sports Academy pamoja na mwanae wakijaza fomu kwa wasimamizi wa zoezi hilo leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wazazi waliowaleta watoto wao kwa ajili ya zoezi la uandikishaji Vijana Kuingia NSSF- Real Madrid Sports Academy pamoja na mwanae wakijaza fomu kwa wasimamizi wa zoezi hilo leo...

 

10 years ago

Michuzi

Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lazidi kushika kasi

 Na Mwandishi Wetu 
  SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu maarufu duniani ya mpira wa miguu ya Real Madrid ya Hispania, leo imeendelea na zoezi lake la usajili wa vijana walio na umri wa chini ya miaka 14 watakaofanyiwa majaribio kwa ajili ya kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY katika uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, huku idadi ya vijana wanaojisajili ikiongezeka. 
 Mchakato huo wa usajili ulianza Oktoba 14 lakini leo idadi...

 

10 years ago

GPL

ZOEZI LA UANDIKISHAJI VIJANA KUINGIA NSSF REAL MADRID SPORTS ACADEMY LAPAMBA MOTO‏

Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendeleajijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume. Zoezi la uandikishaji watoto watakaoshiriki kuingia katika NSSF- Real Madrid Sports Academy likiendelea jijini Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karume. Mmoja wa wazazi waliowaleta watoto wao kwa ajili ya zoezi la uandikishaji Vijana Kuingia NSSF- Real Madrid Sports Academy...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kujenga kituo cha Michezo

Real Madrid ya Hispania imesaini hati ya makubaliano na shirika la hifadhi ya jamii Tanzania (NSSF) kujenga kituo cha michezo

 

10 years ago

Vijimambo

Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ





Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania

Real Madrid ya Hispania imesaini makubaliano na NSSF kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu bilioni 16.

 

9 years ago

Michuzi

Taswira za Kituo cha michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Sports Centre) Kidongo Chekundu, Dar es salaam

 Taswira za juu za usiku za Kituo cha michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Sports Centre) cha Kidongo Chekundu Dar es salaam. Kituo kitafunguliwa rasmi kwa  umma tarehe 19 Oktoba mwaka huu. Uzinduzi utafanyika tarehe 17 Oktoba.Hii ndiyo zawadi ambayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete anawaachia Watanzania baada ya kuwa mtumishi wao kwa miaka 10, ambapo kupitia hapa vipaji vya vijana kwenye michezo mbalimbali vitagunduliwa na kuendelezwa. Mradi huu umefadhiliwa na klabu ya Ligi...

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF yaanza rasmi usajili wa vijana Sports academy


Badhi ya wazazi wakiwasimamia watoto wao katika zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kujiunga na kituo kipya cha michezo cha NSSF-Real Madrid Academy. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kushirikiana na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14, watakaochujwa kusaka nafasi ya kujiunga na NSSF–Real Madrid Sports Academy.
Mchakato huo wa usajili umefanyika leo kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani