Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

9 years ago

Michuzi

JK AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

  Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani. Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland  ya Uingereza na kampuni ya symbionRais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka anganiRais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbionRais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

Taswira za Kituo cha michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Sports Centre) Kidongo Chekundu, Dar es salaam

 Taswira za juu za usiku za Kituo cha michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Sports Centre) cha Kidongo Chekundu Dar es salaam. Kituo kitafunguliwa rasmi kwa  umma tarehe 19 Oktoba mwaka huu. Uzinduzi utafanyika tarehe 17 Oktoba.Hii ndiyo zawadi ambayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete anawaachia Watanzania baada ya kuwa mtumishi wao kwa miaka 10, ambapo kupitia hapa vipaji vya vijana kwenye michezo mbalimbali vitagunduliwa na kuendelezwa. Mradi huu umefadhiliwa na klabu ya Ligi...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete kufungua kituo cha kisasa cha michezo

Rais Jakaya  Kikwete anatarajiwa kuzindua kituo kipya na cha kisasa cha mizecho baadaye mwezi huu kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. 

 

5 years ago

Michuzi

KUSINI YAPATA KITUO CHA KISASA CHA MICHEZO

KAMPUNI ya Juvenile Sport Academy imeanza ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo katika Kanda ya Kusini ili kukuza vipaji vya michezo mbalimbali ukiwemo wa mpira wa miguu na riadha nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Lindi, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ally Kamtande, amesema kituo hicho kinajengwa katika shule ya Sekondari Nyangao iliyopo mkoani Lindi.

Amesema kwa sasa tayari wameshaanza kuboresha uwanja wa mpira wa miguu kwa kuweka nyasi bandia kwenye eneo la kuchezea huku lengo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania

Real Madrid ya Hispania imesaini makubaliano na NSSF kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu bilioni 16.

 

10 years ago

Michuzi

AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia).  Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)

Chumba cha mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo katika Kituo cha Bungi, Unguja. Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani