Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania
Real Madrid ya Hispania imesaini makubaliano na NSSF kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu bilioni 16.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ
Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha Michezo
Real Madrid ya Hispania imesaini hati ya makubaliano na shirika la hifadhi ya jamii Tanzania (NSSF) kujenga kituo cha michezo
10 years ago
MichuziAWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia). Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...
9 years ago
MichuziJUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo
Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...
9 years ago
MichuziKituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015
Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Habarileo31 Oct
NSSF kujenga kijiji cha Bunge
SHIRIKA la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inakamilisha mchakato wa kuanza ujenzi wa kijiji cha Bunge mjini Dodoma na upanuzi wa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam.
11 years ago
MichuziTBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.
Mganga wa Kituo hicho Dk. Gbson Mbaza alienyoosha mkono alisema Tbl imetoa msaada mkubwa na muhimu katika sekta ya afya kwa sababu huduma hiyo inahitaji huduma ya maji kwa wingi kutokana na mahitaji ya usafi kwa wagonjwa na mazingira kuhitaji maji mengi.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris Malulu,
Alisema ili miradi iwe endelevu na imnufaishe mwananchi aliyekusudiwa ni vema suala la uangalizi likawa shirikishi kwa kila mtu ambapo itakuwa misaada kwa vizazi vijavyo...
9 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO LA CHUO CHA IFM
Mchezaji wa timu ya mpira wa Kikapu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Ephraim Mlawa (kushoto) akichuana na Juvenary Shichose wakati Bonanza la michezo la wanafunzi wa Chuo hicho lililofanyika, mwishoni mwa wiki katika Kituo cha Michezo cha JMK Youth Park na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kutoa vifaa vya michezo kwa timu zilizoshiriki mchezo wa soka. (Picha na Francis Dande)Timu za mpira wa kikapu kutoka Chuo cha IFM zikichuana katika Bonanza la michezo la...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Rais Kikwete kufungua kituo cha kisasa cha michezo
Rais Jakaya  Kikwete anatarajiwa kuzindua kituo kipya na cha kisasa cha mizecho baadaye mwezi huu kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Â
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania