Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Real Madrid kujenga kituo cha Michezo

Real Madrid ya Hispania imesaini hati ya makubaliano na shirika la hifadhi ya jamii Tanzania (NSSF) kujenga kituo cha michezo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ





Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania

Real Madrid ya Hispania imesaini makubaliano na NSSF kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu bilioni 16.

 

10 years ago

Michuzi

AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia).  Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015

 Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam  vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu. 

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.

Mganga wa Kituo hicho Dk. Gbson Mbaza alienyoosha mkono  alisema Tbl imetoa msaada mkubwa na muhimu katika sekta ya afya kwa sababu huduma hiyo inahitaji huduma ya maji kwa wingi kutokana na mahitaji ya usafi kwa wagonjwa na mazingira kuhitaji maji mengi.  Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris Malulu, Alisema ili miradi iwe endelevu na imnufaishe mwananchi aliyekusudiwa ni vema suala la uangalizi likawa shirikishi kwa kila mtu ambapo itakuwa misaada kwa vizazi vijavyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete kufungua kituo cha kisasa cha michezo

Rais Jakaya  Kikwete anatarajiwa kuzindua kituo kipya na cha kisasa cha mizecho baadaye mwezi huu kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. 

 

5 years ago

Michuzi

KUSINI YAPATA KITUO CHA KISASA CHA MICHEZO

KAMPUNI ya Juvenile Sport Academy imeanza ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo katika Kanda ya Kusini ili kukuza vipaji vya michezo mbalimbali ukiwemo wa mpira wa miguu na riadha nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Lindi, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Ally Kamtande, amesema kituo hicho kinajengwa katika shule ya Sekondari Nyangao iliyopo mkoani Lindi.

Amesema kwa sasa tayari wameshaanza kuboresha uwanja wa mpira wa miguu kwa kuweka nyasi bandia kwenye eneo la kuchezea huku lengo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uturuki kujenga kituo cha albino

SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani