Uturuki kujenga kituo cha albino
SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Uturuki kujenga kituo cha Albino nchini
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA kwa kushirikiana na Uturuki inatarajia kujenga kituo kikubwa cha albino ambacho kitakuwa na huduma mbalimbali muhimu ikiwamo shule na afya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema kituo hicho kitawasaidia albino kupata huduma muhimu wakiwa kwenye mikono salama.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kikao cha ndani cha mabalozi na wawakilishi wa nchi...
11 years ago
Habarileo23 May
Uturuki, Tanzania kujenga kijiji cha albino 500
UBALOZI wa Uturuki kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania, wana mpango wa kujenga kijiji nchini kwa ajili ya kutunza albino wapatao 500. Ujenzi wa kijiji hicho unakadiriwa kugharimu dola za kimarekani milioni tano sawa na Sh bilioni 8.2.
11 years ago
Mwananchi31 May
Serikali ya Uturuki kuwajengea albino kituo maalumu
11 years ago
MichuziTBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.
10 years ago
Vijimambo27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/26/150126203903_kituochamichezo_tanzania_304x171_bbc_nocredit.jpg)
Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...
10 years ago
Habarileo26 May
SMZ kujenga kituo cha walioathirika mihadarati
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejizatiti kuhakikisha tatizo la vijana wanaotumia dawa za kulevya linadhibitiwa kwa kiasi kikubwa kwa kujenga kituo cha kurekebisha tabia kwa vijana walioathirika na dawa za kulevya.
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Real Madrid kujenga kituo cha Michezo
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania
10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
![](http://api.ning.com/files/afJNJUtdOc7ov-gqEiHQEERch9qXthjChL6DcF-BVFe7qe-DX5qTkHIqDR5YEONOicJqV-utIoa2135EnoFW8B1oWbiS5KRh/unnamed.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/afJNJUtdOc4tqLoeCL89vyp8P-OFzZoG0wJEpY4r7wYFyto0aSWrzOUMp8BtdGSmdlOEAtwMNKz9jJ8adEqCOwdcaUPzOv9v/unnamed2.jpg?width=650)