Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki, Tanzania kujenga kijiji cha albino 500

UBALOZI wa Uturuki kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania, wana mpango wa kujenga kijiji nchini kwa ajili ya kutunza albino wapatao 500. Ujenzi wa kijiji hicho unakadiriwa kugharimu dola za kimarekani milioni tano sawa na Sh bilioni 8.2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uturuki kujenga kituo cha albino

SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

Mtanzania

Uturuki kujenga kituo cha Albino nchini

albinos-tanzania-schoolPatricia Kimelemeta na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA kwa kushirikiana na Uturuki inatarajia kujenga kituo kikubwa cha albino ambacho kitakuwa na huduma mbalimbali muhimu ikiwamo shule na afya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema kituo hicho kitawasaidia albino kupata huduma muhimu wakiwa kwenye mikono salama.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kikao cha ndani cha mabalozi na wawakilishi wa nchi...

 

10 years ago

Habarileo

NSSF kujenga kijiji cha Bunge

SHIRIKA la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inakamilisha mchakato wa kuanza ujenzi wa kijiji cha Bunge mjini Dodoma na upanuzi wa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Unesco, Samsung kujenga kijiji cha digitali Ololosokwan

DSC_0062

Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues  na Mkurugenzi wa  Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika ofisi za UNESCO.

Na Mwandishi wetu

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni  (UNESCO) limetiliana saini mkataba na kampuni ya elektroniki ya Samsung ya ujenzi wa kijiji cha digitali cha Ololosokwan, Loliondo.

 Makubaliano hayo yalitiwa saini hivi karibuni kati ya Mwakilishi mkazi...

 

10 years ago

GPL

UNESCO, SAMSUNG KUJENGA KIJIJI CHA DIGITALI OLOLOSOKWAN‏

Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues na Mkurugenzi wa Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika ofisi za UNESCO. Na Mwandishi wetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetiliana saini mkataba na kampuni ya elektroniki ya Samsung ya ujenzi wa kijiji cha digitali cha Ololosokwan, Loliondo. Makubaliano hayo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha Mazungwe kilichopo kata ya kazuramimba Wilaya ya Uvinza kuchimba msingi wa zahanati ya kijiji hicho.Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma. Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali kwa ajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofali...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15

Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji  wa maji kijiji cha MadindoWananchi  wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji
Diwani  wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  wakijumuika na wanawake wa  kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya  Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia  kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani