Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ kujenga kituo cha walioathirika mihadarati

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejizatiti kuhakikisha tatizo la vijana wanaotumia dawa za kulevya linadhibitiwa kwa kiasi kikubwa kwa kujenga kituo cha kurekebisha tabia kwa vijana walioathirika na dawa za kulevya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.

Mganga wa Kituo hicho Dk. Gbson Mbaza alienyoosha mkono  alisema Tbl imetoa msaada mkubwa na muhimu katika sekta ya afya kwa sababu huduma hiyo inahitaji huduma ya maji kwa wingi kutokana na mahitaji ya usafi kwa wagonjwa na mazingira kuhitaji maji mengi.  Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris Malulu, Alisema ili miradi iwe endelevu na imnufaishe mwananchi aliyekusudiwa ni vema suala la uangalizi likawa shirikishi kwa kila mtu ambapo itakuwa misaada kwa vizazi vijavyo...

 

9 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA CHATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIKOSI VYA SMZ

Kamanda wa Polisi mkoa wa kusini Pemba ‘RPC’ Juma Yussuf Ali, akifungua mafunzo ya siku mbili yaliowahusisha Polisi jamii na Vikosi na Idara maalumu ya ‘SMZ’ Pemba, juu ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, kulia ni Mratibu wa mfaunzo hayo, Khalfan Amour Mohamed, na kushoto ni mtoa mada kutoka afisi ya ‘DPP ‘Pemba Mohamed Ali JumaMratibu wa mafunzo ya haki za binadamu kwa Vikosi na Idara maalumu za SMZ, Khalfan Amour Mohamed akielezea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uturuki kujenga kituo cha albino

SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kujenga kituo cha Michezo

Real Madrid ya Hispania imesaini hati ya makubaliano na shirika la hifadhi ya jamii Tanzania (NSSF) kujenga kituo cha michezo

 

10 years ago

Vijimambo

Real Madrid kujenga kituo cha michezo TZ





Mjumbe kutoka Real Madrid Rayco Garcia na Mkurugenzi wa NSSF,Ramadhani Dau wakitia saini Hati ya makubaliano
Klabu tajiri duniani, Real Madrid ya Uhispania imesaini hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharimu Shilingi bilioni 16.
Ujenzi huo utajumuisha viwanja vitano vya mpira wa miguu, mabweni ya wachezaji na wageni, maduka na huduma nyingine muhimu .Pia watajenga uwanja wa gofu wenye mashimo 18...

 

10 years ago

Mtanzania

Uturuki kujenga kituo cha Albino nchini

albinos-tanzania-schoolPatricia Kimelemeta na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA kwa kushirikiana na Uturuki inatarajia kujenga kituo kikubwa cha albino ambacho kitakuwa na huduma mbalimbali muhimu ikiwamo shule na afya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema kituo hicho kitawasaidia albino kupata huduma muhimu wakiwa kwenye mikono salama.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kikao cha ndani cha mabalozi na wawakilishi wa nchi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real,NSSF kujenga kituo cha michezo Tanzania

Real Madrid ya Hispania imesaini makubaliano na NSSF kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu bilioni 16.

 

10 years ago

Michuzi

RUGEMALIRA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA SARATANI YA MATITI BUKOBA

 Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits LTD , James Rugemarila (kushoto) na Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Benedicta Rugemalira wakim (kulia) zawadia Daktari Bingwa wa magonjwa ya saratani ya matiti, Profesa Anthony Pais kutoka India ambaye amemaliza ziara nchini baada ya kufanya mihadhara mbalimbali na madaktari kuhusu ugonjwa huo. Profesa Pais alifanyiwa hafla ya kuagwa jana katika Hoteli ya Courty Yard, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD...

 

5 years ago

CCM Blog

ZAIDI YA TSH. MILIONI 700 KUTUMIKA KUJENGA KITUO CHA TIBA YA METHADONE

   Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanapotenga asilimia 10 ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya kuwapatia mikopo vijana,wanawake na watu wenye walemavu wawape fursa hiyo hasa vijana wanaotaka kuondoka kwenye matumizi ya Dawa za kulevya.

Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akizindua kituo cha kutoa Tiba ya methadone kwa waratibu wa Dawa za kulevya ambapo Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wamekijenga katika hospitali ya rufaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani