Serikali ya Uturuki kuwajengea albino kituo maalumu
Serikali ya Uturuki inatarajia kujenga Kituo Maalumu kwa ajili watoto zaidi ya 400 wenye ulemavu wa ngozi nchini (Albino) kinachotarajiwa kuwaweka katika mazingira salama kutokana na kukabiliwa na vitisho vya mauaji yanayohusishwa na imani za kishirikina huku wengine wakipoteza maisha bila hatia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Uturuki kujenga kituo cha albino
SERIKALI ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Uturuki ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kuhudumia wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambacho kitakuwa na hospitali na shule. Akizungumza jijini Dar...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Uturuki kujenga kituo cha Albino nchini
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George, Dar es Salaam
TANZANIA kwa kushirikiana na Uturuki inatarajia kujenga kituo kikubwa cha albino ambacho kitakuwa na huduma mbalimbali muhimu ikiwamo shule na afya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema kituo hicho kitawasaidia albino kupata huduma muhimu wakiwa kwenye mikono salama.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kikao cha ndani cha mabalozi na wawakilishi wa nchi...
10 years ago
Habarileo24 Aug
Watoto wamiminika kituo maalumu cha albino
WATOTO wenye ulemavu wa ngozi katika kituo maalumu cha kulea watoto hao Buhangija Manispaa ya Shinyanga, wamezidi kuongezeka kituoni hapo kutokana na wimbi la mauaji ya albino kuibuka tena. Hadi juzi kituo hicho kilifikishiwa watoto zaidi ya 100.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Serikali kuwajengea majaji nchini nyumba70
10 years ago
StarTV29 Dec
Serikali yaombwa kuwajengea makazi waishio mazingira magumu.
Na Frederick Siwale,
Njombe.
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea makazi ili kutambuliwe na kuhifadhiwa waweze kuondokana na adha ya maisha wanayokabiliana nayo hivi sasa.
Walitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati kamera ya Star Tv ilipowafikia ambapo imebainika kuwa wanakutana na changamoto mbalimbali katika makazi yasiyo ya kudumu ikiwemo majumba mabovu na maeneo ya masoko.
Watoto hao ambao wengi wao ni yatima wamekuwa...
11 years ago
Habarileo23 May
Uturuki, Tanzania kujenga kijiji cha albino 500
UBALOZI wa Uturuki kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania, wana mpango wa kujenga kijiji nchini kwa ajili ya kutunza albino wapatao 500. Ujenzi wa kijiji hicho unakadiriwa kugharimu dola za kimarekani milioni tano sawa na Sh bilioni 8.2.
10 years ago
MichuziWananchi waishukuru serikali kuwajengea uwezo wa kupunguza athari za maafa ya ukame
Wananchi wa Wilayani Same katika kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wameishukuru serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya uratibu maafa, kwa kuwajengea uwezo wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame ambao umekuwa ukizisumbua kata hizo Kutokana na mabadiliko ya Tabia Nchi.
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kujengea jamii uwezo wa kukabili maafa ya ukame imefanikiwa kujenga uwezo huo kupitia vikundi vya maendeleo...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Polisi Musoma kuweka kituo maalumu Wilayani Butiama
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Waomba kituo maalumu cha watoto walemavu Buhangija kusaidiwa zahanati
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga.
Na mwandishi wetu, Shinyanga
MKUU wa wilaya ya Shinyanga AnneRose Nyamubi...