E-FM YAPANIA KUKUZA MCHEZO WA NDONDI NCHINI

Dennis Ssebo akipanga mikakati kati ya EFM Redio na Raisi wa WBF Bwana Howard Goldberg pamoja na Francios Botha. Bondia Wang Xian Hua akiwa na mkalimani wake ndani ya studio za EFMN redio.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Feb
SBL yapania kuinua wakulima nchini
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Tigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball tournament.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja amesema,moja ya sehemu ya sera ya kampuni ni kukabiliana na changamoto mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na kukuza michezo.Hii ni kutokana na watanzania wengi wanapenda michezo kwa hiyo basi tigo inashriki katika kukuza...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Kombe la FA litumike kukuza soka nchini
11 years ago
Mwananchi14 Oct
Nguvu ya ziada inahitajika kukuza elimu nchini
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Tanzania na Poland kukuza sekta ya kilimo nchini
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akiongea na ujumbe wa wataalam wa kilimo kutoka nchini Poland ulioongozwa na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini wa Poland Bi. Zofia Szalczyk hivi karibuni jijini Dar es salaam wakati wa mkutano uliohusu makubaliano yanalenga kuinua sekta ya kilimo na kurahisisha upatikanaji wa matrekta hapa nchini. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kayandabila.
Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vjijini...
10 years ago
MichuziRAIS JK APOKEA TUZO YA KUKUZA NA KUTHAMINI UTAFITI NCHINI
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Utafiti: Urani inaweza kuua au kukuza uchumi nchini
9 years ago
Michuzi
Stanbic yafanikisha shindano la kukuza ujasiriamali nchini la SeedStars.
10 years ago
Vijimambo
Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini
