Tigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball tournament.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja amesema,moja ya sehemu ya sera ya kampuni ni kukabiliana na changamoto mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na kukuza michezo.Hii ni kutokana na watanzania wengi wanapenda michezo kwa hiyo basi tigo inashriki katika kukuza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Tigo yashirikiana na DTBi na COSTECH katika kukuza Teknohama na ajira kwa vijana nchini
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya utiliaji saini kati ya kampuni ya Tigo na kituo cha biashara ya teknohama DTBi. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez na Afisa Mtendaji Mkuu wa DTBi Eng. George Mulamula.
Tigo Tanzania leo imeingia katika ushirikiano na Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) ambayo itaona kampuni hiyo ya simu ikiwezesha...
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Tausi: Nitaibua, kukuza vipaji vya wanamitindo
NA SALMA MPELI, DAR ES SALAAM
MWANAMITINDO wa Tanzania ambaye anafanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola, amepania kuibua na kukuza vipaji vya wanamitindo wachanga.
Akizungumza katika Ofisi za New Habari (2006) LTD hivi karibuni, Tausi alisema kwa kuona umuhimu wa kuibua vipaji vya wanamitindo ameamua kufungua studio yake binafsi ambayo itakuwa ikitoa mafunzo mbalimbali ya urembo.
“Tanzania tuna vipaji vingi tatizo hakuna watu wa kuviangalia na kusimamia, ndiyo maana nimeamua...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Tigo yasaidia vitabu vya Sh6mil
10 years ago
Bongo515 Sep
Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Japan yasaidia kilimo nchini
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Kombe la FA litumike kukuza soka nchini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLFI0TNpJKqyTE8dEJzqA7UDeKChoHei6FK5GZLlg1-8JssE4dCS8R1FSfQ9lvaOZ9K9ubqRk9IP*yIEpA5vhAs/1.jpg?width=650)
E-FM YAPANIA KUKUZA MCHEZO WA NDONDI NCHINI
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA HUAWEI YASAIDIA KATIKA ELIMU NA TEKNOLOGIA HAPA NCHINI
Dr.Lu Youqing lieleza kuwa sasa hivi China na Tanzania wana ushirikiano mzuri...