Tausi: Nitaibua, kukuza vipaji vya wanamitindo
NA SALMA MPELI, DAR ES SALAAM
MWANAMITINDO wa Tanzania ambaye anafanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola, amepania kuibua na kukuza vipaji vya wanamitindo wachanga.
Akizungumza katika Ofisi za New Habari (2006) LTD hivi karibuni, Tausi alisema kwa kuona umuhimu wa kuibua vipaji vya wanamitindo ameamua kufungua studio yake binafsi ambayo itakuwa ikitoa mafunzo mbalimbali ya urembo.
“Tanzania tuna vipaji vingi tatizo hakuna watu wa kuviangalia na kusimamia, ndiyo maana nimeamua...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo515 Sep
Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4eVnJc0AsFU/VOdRLJ__QHI/AAAAAAAHEyo/WAWCTlW1_04/s72-c/DSC_0891.jpg)
MWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-4eVnJc0AsFU/VOdRLJ__QHI/AAAAAAAHEyo/WAWCTlW1_04/s1600/DSC_0891.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tjNWY0bPwW8/VOdRK72AvtI/AAAAAAAHEys/Gf6cHCIYl4I/s1600/DSC_1094.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jE687D6VxOE/VOdRLAG2rjI/AAAAAAAHEyk/nSDj3cEBBZs/s1600/DSC_1152.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Tigo yasaidia kukuza vipaji nchini
Kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball tournament.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja amesema,moja ya sehemu ya sera ya kampuni ni kukabiliana na changamoto mbalimbali katika jamii ikiwa ni pamoja na kukuza michezo.Hii ni kutokana na watanzania wengi wanapenda michezo kwa hiyo basi tigo inashriki katika kukuza...
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0549.jpg)
WANAMITINDO, ALLY REHMTULLA NA MARTIN KADINDA WATUNUKIWA VYETI VYA MAFANIKIO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
WENYE VIPAJI VYA UCHORAJI WAJITOKEZE
![](https://1.bp.blogspot.com/-zRQVTdxaVjI/XtHp8f44s-I/AAAAAAALsDs/nL46_qbocM0vb8-oEV42CerXJBA6UXpKwCLcBGAsYHQ/s400/unnamed.jpg)
NA DENIS MLOWE,IRINGA
VIJANA wenye vipaji vya kuchora mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye mradi mpya wa uchoraji uliopewa jina la The Streets of Iringa Krafts wenye nia kuibua na kuendeleza vipaji vya uchoraji na kuzalisha ajira zaidi.
Wito huo umetolewa na mdau wa maendeleo, Ahmed Salim Abri kwa lengo la kuwawezesha vijana kutumia kipaji cha uchoraji katika kukuza ajira mkoani hapa ikiwa ni sehemu ya moja ya mikakati ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya...
11 years ago
Mwananchi28 May
Vyombo vya habari vyatakiwa kukuza utalii
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Lollipop: Nasaidia wenye vipaji vya kuimba
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MTAYARISHAJI wa muziki anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva nchini, Goodluck Gozbert maarufu kwa jina la Lollipop, amejitokeza kusaidia wasanii wenye vipaji na uwezo wa kuimba lakini hawana fedha za kurekodia kazi zao.
Lollipop aliyejipatia sifa kupitia wimbo wa ‘Basi Nenda’ wa Mo Music, aliliambia MTANZANIA kwamba, wenye uwezo wapo wengi lakini wanashindwa kurekodi kwa kuwa hawana fedha za kurekodia ndiyo maana amechukua jukumu la kuwasaidia ili aibue...
10 years ago
Habarileo06 Oct
Dk Slaa: Wazazi tambueni vipaji vya watoto
WAZAZI na walezi nchini wameshauriwa kuwalea watoto wakitambua vipaji walivyo navyo ili viweze kutumika vyema kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa alitoa ushauri huo jana Dar es Salaam katika siku ya wahisani ya Chama cha Kitume cha Wanafunzi wa Kikatoliki (TYCS) Jimbo Kuu la Dar es Salaam.