MWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI
Mwanamitindo,Tausi Likokola akiwasili leo wa uwanja wa Ndege Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitoke nchini Marekani kwa ziara ya siku 10 kushoto ni mama mdogo,Beatrice Likokola Mwanamitindo,Tausi Likokola akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.Mwanamitindo Tausi Likokola akishiriki kucheza ngoma ya asili ya kundi la wanne Star mara baada ya kuwasili wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Mwanamitindo Tausi Likokola azuru nchini, kuzindua manukato yake
Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kulakiwa na mama yake mdogo, Beatrice Likokola.(Picha zote na Zainul Mzige)
Na Andrew Chale wa modewji blog
MLIMBWENDE wa kitanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola amewasili nchini mchana huu kwa lengo la kuzindua miradi yake anayoiendesha ambayo mingine ni kwa ajili ya kusaidia jamii ya...
10 years ago
GPLMWANAMITINDO WA KIMATAIFA TAUSI LIKOKOLA ATEMBELEA GLOBAL TV
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Tausi Likokola azindua vazi la amani
NA CHRISTOPHER MSEKENA
ONYESHO la mavazi ‘Fashion for Peace’ limezindua vazi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.
Onyesho hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam liliwajumuisha wabunifu, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Kiki Zimba.
Onyesho hilo lilifunguliwa na mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake barani Ulaya, Tausi Likokola, aliyevalia vazi la mbunifu Kiki Zimba kwa kuzingatia umuhimu wa...
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Tausi Likokola achangisha milioni 14 kusaidia albino
Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya fedha zilizokusanywa usiku wa Tausi uliofanyika katika Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, zimeelekezwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kikundi cha Wamata na Kiwawede cha Mburahati ambacho kinatunza watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Usiku huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo mwandishi mashuhuri, Jenerali Ulimwengu, mwanamitindo Mustafa Hasanali, aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu na wengine...
10 years ago
GPLTAUSI LIKOKOLA FUND RAISING DINNER
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Tausi: Nitaibua, kukuza vipaji vya wanamitindo
NA SALMA MPELI, DAR ES SALAAM
MWANAMITINDO wa Tanzania ambaye anafanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola, amepania kuibua na kukuza vipaji vya wanamitindo wachanga.
Akizungumza katika Ofisi za New Habari (2006) LTD hivi karibuni, Tausi alisema kwa kuona umuhimu wa kuibua vipaji vya wanamitindo ameamua kufungua studio yake binafsi ambayo itakuwa ikitoa mafunzo mbalimbali ya urembo.
“Tanzania tuna vipaji vingi tatizo hakuna watu wa kuviangalia na kusimamia, ndiyo maana nimeamua...
11 years ago
GPLVODACOM KUWAUNGA MKONO WANAMITINDO NCHINI
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Sheria Ngowi awataka wanamitindo wanaochipukia nchini kujitambua
Sheria Ngowi pembeni yake ni Aj Mynah ambae ni Mkurugenzi wa Black Fox Model Afrika na anaefuata ni Ednda Ndebalema wa Ndibs Makeup wakizungumza na wanamitindo hao katika mafunzo yaliyoandaliwa na Black Fox katika klabu ya Paparaz iliyopo Sleep Way Masaki.
Sheria Ngowi akiwafunda somo wanamitindo.
Wakapata nafasi ya kupiga nae picha.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Na Evance Ng’ingo
WANAMITINDO wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua pamoja na kuwa na mikakati ya kujitangaza zaidi ili...
10 years ago
MichuziWanamitindo wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua - Sheria Ngowi
Na Evance Ng'ingoWANAMITINDO wanaochipukia nchini wametakiwa kujitambua pamoja na kuwa na mikakati ya kujitangaza zaidi ili kupata soko la ndani na nje ya nchi.
Wito huo ulitolewa jana na Mwanamitindo mahiri wa mavazi nchini Sheria Ngowi wakati akizungumza na Wanamitindo kutoka kampuni ya Black Fox Model Africa.
Ngowi pamoja na mtaalamu wa urembaji Edna Ndibarema wa kampuni ya Ndiba Style walialikwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, ya Black Fox Model Africa, Aj Mynah kuzungumzia fursa zilizopo...