Tausi Likokola achangisha milioni 14 kusaidia albino
Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya fedha zilizokusanywa usiku wa Tausi uliofanyika katika Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, zimeelekezwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kikundi cha Wamata na Kiwawede cha Mburahati ambacho kinatunza watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Usiku huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo mwandishi mashuhuri, Jenerali Ulimwengu, mwanamitindo Mustafa Hasanali, aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu na wengine...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Tausi Likokola azindua vazi la amani
NA CHRISTOPHER MSEKENA
ONYESHO la mavazi ‘Fashion for Peace’ limezindua vazi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.
Onyesho hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam liliwajumuisha wabunifu, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Kiki Zimba.
Onyesho hilo lilifunguliwa na mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake barani Ulaya, Tausi Likokola, aliyevalia vazi la mbunifu Kiki Zimba kwa kuzingatia umuhimu wa...
10 years ago
GPLTAUSI LIKOKOLA FUND RAISING DINNER
10 years ago
GPLMWANAMITINDO WA KIMATAIFA TAUSI LIKOKOLA ATEMBELEA GLOBAL TV
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Mwanamitindo Tausi Likokola azuru nchini, kuzindua manukato yake
Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kulakiwa na mama yake mdogo, Beatrice Likokola.(Picha zote na Zainul Mzige)
Na Andrew Chale wa modewji blog
MLIMBWENDE wa kitanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola amewasili nchini mchana huu kwa lengo la kuzindua miradi yake anayoiendesha ambayo mingine ni kwa ajili ya kusaidia jamii ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4eVnJc0AsFU/VOdRLJ__QHI/AAAAAAAHEyo/WAWCTlW1_04/s72-c/DSC_0891.jpg)
MWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-4eVnJc0AsFU/VOdRLJ__QHI/AAAAAAAHEyo/WAWCTlW1_04/s1600/DSC_0891.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tjNWY0bPwW8/VOdRK72AvtI/AAAAAAAHEys/Gf6cHCIYl4I/s1600/DSC_1094.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jE687D6VxOE/VOdRLAG2rjI/AAAAAAAHEyk/nSDj3cEBBZs/s1600/DSC_1152.jpg)
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mdee achangisha milioni 2.3/- kujenga daraja
MANENO SELANYIKA NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amefanya harambee kwa wananchi wa Kata ya
Bunju ‘A’ jijini Dar es Salaam ili kupata fedha za kujenga daraja.
Akizungumza mwishoni mwa wiki katika mkutano na wananchi, Mdee alisema fedha hizo zitatumika kujenga daraja katika kata hiyo ili kutatua kero ya usafiri kwa wananchi hao hasa kipindi cha mvua.
Mbali na harambee hiyo, Mdee aliwaahidi kuwapatia wakazi hao Sh milioni 5 kutoka mfuko wa jimbo ili...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
WAZIRI CHIKAWE ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 22 KKKT NACHINGWEA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QnFCgYquN94/VISmXw7YG3I/AAAAAAAG1zc/hKskVlZ8p_Y/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZPFpQa6TPt4/VE3PjygJ3hI/AAAAAAAGte8/Z7jDttTiOnU/s72-c/1.jpg)
WAZIRI KAWAMBWA AWA "LAIGWANANI" ACHANGISHA MILIONI 35 UKARABATI WA SHULE YA ENABOISHU MKOANI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZPFpQa6TPt4/VE3PjygJ3hI/AAAAAAAGte8/Z7jDttTiOnU/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WkOW3z1XvH4/VE3Pkrt0TzI/AAAAAAAGtfA/lwav7SQFtE4/s1600/2.jpg)
10 years ago
MichuziMke wa Waziri Mkuu achangisha Milioni 128 kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa jijini Dar