Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamitindo Tausi Likokola azuru nchini, kuzindua manukato yake

DSC_0322

Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kulakiwa na mama yake mdogo, Beatrice Likokola.(Picha zote na Zainul Mzige)

Na Andrew Chale wa modewji blog

MLIMBWENDE wa kitanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola amewasili nchini mchana huu kwa lengo la kuzindua miradi yake anayoiendesha ambayo mingine ni kwa ajili ya kusaidia jamii ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI

 Mwanamitindo,Tausi Likokola akiwasili leo wa uwanja wa Ndege Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitoke nchini Marekani kwa ziara ya siku 10 kushoto ni mama mdogo,Beatrice Likokola Mwanamitindo,Tausi Likokola akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.Mwanamitindo Tausi Likokola akishiriki kucheza ngoma ya asili ya kundi la wanne Star mara baada ya kuwasili wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu...

 

10 years ago

GPL

MWANAMITINDO WA KIMATAIFA TAUSI LIKOKOLA ATEMBELEA GLOBAL TV

Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akijiweka sawa kufanya mahojiano kupitia Global TV Online leo. ...Akifafanua jambo wakati wa mahojiano.…

 

9 years ago

Mtanzania

Tausi Likokola azindua vazi la amani

TAUS LIKOKOLANA CHRISTOPHER MSEKENA

ONYESHO la mavazi ‘Fashion for Peace’ limezindua vazi maalumu kwa ajili ya kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

Onyesho hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa King Solomon, Dar es Salaam liliwajumuisha wabunifu, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Kiki Zimba.

Onyesho hilo lilifunguliwa na mwanamitindo wa Tanzania anayefanya kazi zake barani Ulaya, Tausi Likokola, aliyevalia vazi la mbunifu Kiki Zimba kwa kuzingatia umuhimu wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Tausi Likokola achangisha milioni 14 kusaidia albino

Taus LikokoNa Mwandishi Wetu
BAADHI ya fedha zilizokusanywa usiku wa Tausi uliofanyika katika Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, zimeelekezwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), kikundi cha Wamata na Kiwawede cha Mburahati ambacho kinatunza watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Usiku huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo mwandishi mashuhuri, Jenerali Ulimwengu, mwanamitindo Mustafa Hasanali, aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu na wengine...

 

10 years ago

GPL

TAUSI LIKOKOLA FUND RAISING DINNER‏

Tausi Likokola was the first high fashion model to cross over international modeling industry on the 90's with credits from fashion houses such as Gucci, Christian Dior, Issey Miyake, Tommy Hilfger, Escada etc. Tausi also covered numerous fashion magazines and inspired many current models like Millen Magese, Flaviana Matata, Herieth Paul and others around the globe. Tausi used her name to help her own people in Tanzania in...

 

9 years ago

Mwananchi

LOTA MOLLEL : Mwanamitindo asiyependa fani yake idharauliwe

Ukizungumzia wanamitindo wanaofanya vizuri katika tasnia ya mitindo, huku wakiwa na juhudi zakuleta maendelea katika familia zao na nchi kwa ujumla huwezi kumsahau Lota Molel.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa ahani msiba wa dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete

IMGS5809

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana  na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi Kikwete, Mikocheni jijini Dar es salaam Desemba 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS5810

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na wanafamilia wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete  wakati alipokwenda kuwapa pole wanafamilia kutokana na kifo cha dada yake Rais Mstaafu, Tausi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwanamitindo Jocktan Makeke kuwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya TDWFS nchini Afrka Kusini

Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo bora sasa.

Msanii huyu ambaye ndio mwanzilishi ya kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO.  LTD atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini Afrika Kusini kufanya maajabu kwa mara nyingine katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli azuru makaburi ya Babu na Bibi yake, Katoma — Geita Vijijini

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akielekea katika makaburi ya makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini huku akiwa ameambatana na ndugu zake ikiwemo baba zake wadogo na mama zake wadogo. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akiwa katika makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini akiwatambulisha ndugu zake ikiwemo baba yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani