Mwanamitindo Jocktan Makeke kuwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya TDWFS nchini Afrka Kusini
Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo bora sasa.
Msanii huyu ambaye ndio mwanzilishi ya kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO. LTD atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini Afrika Kusini kufanya maajabu kwa mara nyingine katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Jocktan Makeke: Mbunifu wa Tanzania anayetumia ngozi, mifupa, miti, makopo na vingine kutengeneza nguo
Kabla wakoloni hawajaja Afrika na kututawala, mababu zetu walikuwa wakiishi kwa kutegemea mazingira yanayowazunguka.
Mavazi waliyovaa, yalitokana na miti na vitu vingine vya asili. Baada ya mkoloni kuja na kudai kuleta ustaarabu Afrika, mengi yalibadilika. Tukipeleka mbele hadi mwaka 2017, asilimia zaidi ya 90 ya nguo ambazo Watanzania tunavaa, ni zile zilizotengenezwa nje na nyingi huja kama mitumba.
Mbunifu wa mavazi/Msanii wa mitindo, Jocktan Makeke ana jicho la tofauti katika namna...
10 years ago
Dewji Blog29 Sep
Tigo yadhamini Mabaharia watoto 10 kuwakilisha Tanzania Mashindano ya Mitumbwi Afrika
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo safari ya timu ya Taifa ya watoto waendesha mitumbwi inayoelekea nchini Morocco kushiriki mashindanoya wakimbiza mitumbwi mwezi ujao.
Na Mwandishi wetu
Tigo Tanzania imetangaza udhamini wake kwa timu ya taifa ya watoto wadogo waendesha mitumbwi, timu ambayo inaundwa na mabaharia watoto 10 waliochaguliwa na shirikisho la mitumbwi midogo ya watoto...
10 years ago
GPLBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI
Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi...
10 years ago
MichuziMWANAMITINDO TAUSI LIKOKOLA AWASILI NCHINI,AWAPA CHANGAMOTO WANAMITINDO NCHINI
11 years ago
MichuziBARABARA YAANGUKA NCHINI BRAZIL KWENYE MJI MWENYEJI WA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA
9 years ago
Habarileo23 Nov
Maaskofu watatu nchini kuwakilisha ziara ya Papa
MAASKOFU watatu wa Kanisa Katoliki nchini wanatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika ibada ya misa maalumu, inayotarajiwa kufanyika jijini Kampala nchini Uganda, katika ziara ya kwanza ya Papa Francis barani Afrika iliyopangwa kufanyika kuanzia Novemba 25 hadi 30, mwaka huu.
10 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Mwanamitindo Tausi Likokola azuru nchini, kuzindua manukato yake
Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na kulakiwa na mama yake mdogo, Beatrice Likokola.(Picha zote na Zainul Mzige)
Na Andrew Chale wa modewji blog
MLIMBWENDE wa kitanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Tausi Likokola amewasili nchini mchana huu kwa lengo la kuzindua miradi yake anayoiendesha ambayo mingine ni kwa ajili ya kusaidia jamii ya...