Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARABARA YAANGUKA NCHINI BRAZIL KWENYE MJI MWENYEJI WA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

Mtu mmoja  amethibitishwa kufariki Dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya moja ya Barabara iliyokuwa kwenye matengenezo kukatika katika mji wa Belo Horezonte karibu na eneo lenye shughuli nyingi la Lagoa da Pampulha,nchini Brazil.  Barabara hiyo ipo kilometa 3 kutoka Mineirao Stadium,uwanja uliotumika kwa mechi mbali mbali za kombe la dunia na utatumika kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014.     Barabara hii ilikuwa ni moja ya kiungo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....

 

11 years ago

GPL

MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MECHI ZOTE ZA KOMBE LA DUNIA LA MWAKA 2014 NCHINI BRAZIL

8th July 2014 World Cup 2014 5th July 2014 World Cup 2014 4th July 2014 World Cup 2014 1st July 2014 World Cup 2014…

 

11 years ago

Michuzi

TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akiwaeleza waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa kuwapata washindi watano watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea Pipa inayoendeshwa na TBC kwa kushirikiana na makampuni ya Push Mobile Media Ltd na Star Times Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani