JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Watoto wa mitaani watinga fainali Brazil
TIMU ya taifa ya watoto wa mitaani ya Tanzania, imetinga fainali za Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil
MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Fainali za Kombe la Dunia 2014: Udhaifu, wasiwasi wa kila timu itakayoshiriki
11 years ago
GPL
KOMBE LA DUNIA: UJERUMANI YAIFANYIA KITU MBAYA BRAZIL NA KUTINGA FAINALI