Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI

Mkurugenzi na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf  Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania, Majuto Ismail,  jijini Mwanza kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia la watoto wa mitaani. Picha na Moses Mashalla.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA PARALYMPIC YAKABIDHIWA VIFAA KWA AJILI MICHEZO YA AFRIKA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika  (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. 

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha...

 

9 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya wanawake ya Mchezo wa Mpira wa Magongo yakabidhiwa bendera kabla ya kuelekea Afrika ya kusini baada ya

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda akimkabidhi bendera Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanawake ya  Mchezo wa Mpira wa Magongo  Bi Kidawa Abdallah katika hafla ya kuwaaga  wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya  mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Wa kwanza kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri BarnabasAfisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wa mitaani watinga fainali Brazil

TIMU ya taifa ya watoto wa mitaani ya Tanzania, imetinga fainali za Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry ambaye ni muasisi wa mchezo huo hapa nchini, kushoto ni mchezaji Emmanuel Mwaisumbe. Safari hiyo imedhaminiwa na Tanzania Chess...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani