Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wa mitaani watinga fainali Brazil

TIMU ya taifa ya watoto wa mitaani ya Tanzania, imetinga fainali za Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....

 

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC) watinga Bungeni mjini Dodoma

injinia

 

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Habib  Mnyaa akitoa ufafanuzi  leo kuhusu  maoni  ya  taarifa ya Kamati Namba Moja ya Bunge la Maalum la Katiba.  

kilango

Mwenyekiti  wa Kamati Namba  Kumi na Moja  ya Bunge Maalum  la Katiba, Anna Kilango Malecela akiwasilisha leo  taarifa ya Kamati yake kuhusu Sura ya kwanza na sura ya sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

bingwa

Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC) ikiwa katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma mara baada ya  timu  hiyo na...

 

11 years ago

GPL

WATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013", FAINALI KUFANYIKA LEO JIONI LEDGER PLAZA - BAHARI BEACH‏

Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la "MO Kids Got Talent 2013" Chief Judge wa Shindano la vipaji vya watoto na vijana wadogo la “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki walioingia semi finals za shindano hilo linalofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YAKABIDHIWA VIFAA KABLA YA KWENDA BRAZIL MASHINDANONI

Mkurugenzi na muasisi wa taasisi ya Tanzania Street Children (TSC), Bw. Altaf  Hirani akimkabidhi vifaa vya jezi meneja msafara wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania, Majuto Ismail,  jijini Mwanza kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia la watoto wa mitaani. Picha na Moses Mashalla.

 

10 years ago

Michuzi

TEMEKE WATINGA FAINALI ARS.

 Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17. Temeke ilishinda 2-1  Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17). Temeke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani