TEMEKE WATINGA FAINALI ARS.
Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17. Temeke ilishinda 2-1
Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17). Temeke...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLTEMEKE WATINGA FAINALI AIRTEL RISING STARS
9 years ago
Habarileo22 Sep
Temeke mabingwa Kombe la ARS 2015
MICHUANO ya soka ya Airtel Rising Stars kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, ilifikia tamati ambapo timu ya wasichana ya Temeke walitwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni kwa penalti.
9 years ago
Habarileo08 Sep
Temeke yaahidi ubingwa tena ARS
TIMU ya wasichana ya mkoa wa kisoka wa Temeke imetamba kutetea ubingwa wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo23 Sep
Ilala, Temeke mabingwa ARS 2015
PAZIA la michuano taifa ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars Jumatatu wiki hii, lilifungwa rasmi ambapo Ilala walitoa kipigo cha mbwa mwizi cha magoli 4-0 dhidi ya Mbeya na kufanikiwa kutwaa ubingwa kwa upande wa wavulana, huku kwa upande wa wasichana,Temeke walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni.
10 years ago
TheCitizen19 Aug
SOCCER: Temeke girls are the ARS champions
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1821.jpg)
WATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013", FAINALI KUFANYIKA LEO JIONI LEDGER PLAZA - BAHARI BEACH
10 years ago
BBCSwahili15 May
Sharapova, Kvitova watinga robo fainali
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Azam FC watinga robo fainali Kagame
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC, jana walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), baada ya kuichapa...