Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam FC watinga robo fainali Kagame

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC, jana walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), baada ya kuichapa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

AZAM, YANGA KUKIPIGA ROBO FAINALI YA KAGAME CUP KESHO, NANI KUIBUKA KIDEDEA??

Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho na masikio yakiwa kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.Mechi hiyo ya pili inatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kufuatia timu hizo mbili zinatotokea jijini Dar es salaam kuwa na upinzani mkali kuanzia katika Ligi Kuu a Vodacom Tanzania na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sharapova, Kvitova watinga robo fainali

Nyota wa mchezo wa tenisi duniani Maria Sharapova ametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya italia

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyota wa tenesi watinga robo fainali

Nyota wa tenesi Roger federer, Rafael Nadal na Novack Djockovic wametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi .

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Wawili watinga robo fainali ya Heineken foosball

Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Amon Theonest (katikati) akiwapongeza wachezaji wa Team Boko stars baada ya ushindi wao pale Hisaje Park, Boko. Washindi hao Elifuraha Salimu (kushoto) na mwenzake Rafael Masanga waliitwanga timu ya bongo stars kwa magoli tisa nakuingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuangalia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. Kapteni wa timu ya Winners Moses Maira (kulia) akitabasamu pamoja na mwenzake Hassan Chansa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo fainali Kagame kuanza leo

Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Cecafa Kagame Cup itachezwa leo

 

5 years ago

Michuzi

SAHARE UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA AZAM


Na Zainab Nyamka, Michuzi TV.

Kocha wa timu ya Sahare All Stars Kessy Abdalla amesema wamejipanga kucheza na timu yoyote watakayopangiwa nayo kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Azam ASFC.

Hayo ameyasema baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Panama Fc ya Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo Sahare All Stars waliweza kuibuka na ushindi huo mnono.

Kocha Abdalla amesema kuwa wao wanaamini...

 

10 years ago

Habarileo

Ni Azam, Gor Mahia fainali ya Kagame

AZAM imetinga fainali za kombe la Kagame kwa mara ya pili na sasa itacheza na Gormahia ya Kenya katika fainali zitakazochezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani