Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAHARE UNITED YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA AZAM


Na Zainab Nyamka, Michuzi TV.

Kocha wa timu ya Sahare All Stars Kessy Abdalla amesema wamejipanga kucheza na timu yoyote watakayopangiwa nayo kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Azam ASFC.

Hayo ameyasema baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Panama Fc ya Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umechezwa leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo Sahare All Stars waliweza kuibuka na ushindi huo mnono.

Kocha Abdalla amesema kuwa wao wanaamini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga robo fainali FA

Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.

 

10 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Uganda yatinga robo fainali

Timu ya KCCA ya Uganda imejikatia tiketi ya kusonga mbele katika robo fainali

 

9 years ago

Habarileo

KMKM yatinga robo fainali ya Makocha

MAAFANDE wa timu ya soka ya Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM) wametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Makocha kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Boys.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

11 years ago

GPL

BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA

Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kushinda kwa penalti 3-2 dhidi ya Chile. ...Mashabiki  Brazil wakishangiia. Wachezaji wa timu ya…

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yatinga robo fainali Mapinduzi Cup

Pg 32 leo

TIMU ya Yanga jana ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Polisi ya humo mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Timu hizo zilizopo katika Kundi A ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zao za kwanza, ambapo Yanga iliifunga Jango’mbe kwa mabao 4-0, huku Polisi ikiifunga Shaba ya huko kwa bao 1-0.
Shujaa wa Yanga kwenye mchezo huo alikuwa ni winga wake wa kushoto, Mbrazil Andrey...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yatinga fainali Kombe la Capital

Chelsea wamefanikiwa kutinga fainali ya kombe la ligi la Capital One baada ya kuwachapa Liverpool bao 1-0

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani