Wawili watinga robo fainali ya Heineken foosball
Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Amon Theonest (katikati) akiwapongeza wachezaji wa Team Boko stars baada ya ushindi wao pale Hisaje Park, Boko. Washindi hao Elifuraha Salimu (kushoto) na mwenzake Rafael Masanga waliitwanga timu ya bongo stars kwa magoli tisa nakuingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuangalia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. Kapteni wa timu ya Winners Moses Maira (kulia) akitabasamu pamoja na mwenzake Hassan Chansa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMICHUANO YA HEINEKEN FOOSBALL YAINGIA FAINALI
10 years ago
BBCSwahili15 May
Sharapova, Kvitova watinga robo fainali
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Nyota wa tenesi watinga robo fainali
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Azam FC watinga robo fainali Kagame
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC, jana walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), baada ya kuichapa...
11 years ago
MichuziMichauno ya Heineken foosball yazidi kunoga
11 years ago
MichuziMashindano ya Heineken foosball yaendelea jijini Dar
11 years ago
MichuziMichauno ya Heineken foosball yazidi kufana jijini Dar
Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Muhana Kibuta akimkabidhi kapteni wa timu Mancity zawadi baada yakushinda michuano ya foosball pale Maisha Club. Washindi hao pia wameingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain...
11 years ago
MichuziMambo ya Mashindano ya Heineken foosball Wikiendi hii ya pasaka
Weekend hii Heineken inakuletea mchezo kabambe wa foosball karibu na pale ulipo. Kushiriki kwa michuano hii unatakiwa kufika eneo husika pata kinwaji cha Heineken, Sajili jina la timu yako na tayari utakuwa umepata nafasi yakushinda tripu kali yakwenda Ibiza Spain kushuhudia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. MC mkali a.k.a Mr.foosball better known as Cpwaaa...
11 years ago
MichuziWashindi wa Mpira wa mezani (Heineken Foosball) wakwea pipa kuelekea Ibiza