Mambo ya Mashindano ya Heineken foosball Wikiendi hii ya pasaka
Baadhi ya wadau wa mpira wa meza yani foosball unaothaminiwa na Heineken, wakicheza pale Frisha’s Arena.
Weekend hii Heineken inakuletea mchezo kabambe wa foosball karibu na pale ulipo. Kushiriki kwa michuano hii unatakiwa kufika eneo husika pata kinwaji cha Heineken, Sajili jina la timu yako na tayari utakuwa umepata nafasi yakushinda tripu kali yakwenda Ibiza Spain kushuhudia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league.
MC mkali a.k.a Mr.foosball better known as Cpwaaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMashindano ya Heineken foosball yaendelea jijini Dar
11 years ago
MichuziMichauno ya Heineken foosball yazidi kunoga
11 years ago
MichuziMICHUANO YA HEINEKEN FOOSBALL YAINGIA FAINALI
11 years ago
MichuziWawili watinga robo fainali ya Heineken foosball
11 years ago
MichuziMichauno ya Heineken foosball yazidi kufana jijini Dar
Mwakilishi wa kampuni ya Heineken Tanzania, Muhana Kibuta akimkabidhi kapteni wa timu Mancity zawadi baada yakushinda michuano ya foosball pale Maisha Club. Washindi hao pia wameingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain...
11 years ago
MichuziWashindi wa Mpira wa mezani (Heineken Foosball) wakwea pipa kuelekea Ibiza
11 years ago
MichuziHEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE TENA HAPA NCHINI
11 years ago
GPL15 Apr
11 years ago
MichuziMAMBO YA HEINEKEN NYAMA CHOMA YALIVYONOGA