MAMBO YA HEINEKEN NYAMA CHOMA YALIVYONOGA
![](https://lh3.googleusercontent.com/-7viB79zkidI/UyBjKld4pII/AAAAAAAA3Qc/21i0qgVMvHA/s72-c/blogger-image-834971233.jpg)
Andrew Mahaiga akiwa na rafiki yake Arther Samuel katika tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Fleva, Cpwaa akiwa ndani la tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mpenzi wa burudani akifurahia kuwa ndani ya banda la Heineken ndani ya Nyama Choma festival hivi karibuni.
Millard Ayo akitangaza mshindi wa shindano la Heineken ya kwenda Amsterdam nchini Hollanzi, kulia kwake Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Bw. Uche Unigwe.
Wapenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Bia ya Heineken ilivyopamba kwenye Nyama choma Festival Leaders Club
Banda la Heineken lililokuwa kivutio katika tamasha hilo la Nyama Choma, Dj wa Heineken akitoa burudani kwa wateja na wadau wa bia hiyo waliofurika ndnai ya banda hilo Septemba 5.2015, Nyama Choma Festival.. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
Tamasha kubwa la Nyama Choma (Nyama Choma Festival) ambalo ufanyika kila baada ya miezi mitatu katika mwaka, safari hii limeendelea kuteka umati mkubwa wa wadau wa Nyama na burudani waliofurika katika viwanja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cKV6TsVCVvg/U_3CjMkhyUI/AAAAAAAGCog/z1S3OkXYC6Q/s72-c/unnamed%2B(94).jpg)
NYAMA CHOMA FESTIVAL
![](http://1.bp.blogspot.com/-cKV6TsVCVvg/U_3CjMkhyUI/AAAAAAAGCog/z1S3OkXYC6Q/s1600/unnamed%2B(94).jpg)
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Shindano la Nyama choma lafunguliwa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-R5Xq2VWMkjE/U7EfVRPprSI/AAAAAAAFtmU/Y88wY7g-g2Q/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
TheCitizen13 Feb
Another nyama choma success story
11 years ago
Michuzi09 Jun
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Mapacha Watatu wafunika Nyama Choma
BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu imewapagawisha na kukonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika tamasha la Heineken Nyama Choma lililofanyika mwishoni mwa wiki baada ya kupiga shoo...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Nyama Choma Festival a culture one should never miss
DJ Micho entertaining the Heineken lovers (not in picture) during the Nyama Choma Festival.
Tanzania’s prime Nyama Choma Festival which was held on September 5th 2015 brought together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation.
The festival organized by Alta Vista Events and indulged fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus electric live entertainment from a line-up of talented entertainers, including AY, Mwana FA and FM Academia while enjoying international...
10 years ago
MichuziSD EXECUTIVEHOTELMABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA 2015MWANZA
Na Mwandishi Wetu.Mbeya.
SD EXECUTIVE Hotel jijini Mwanza wameibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mswishoni mwa...