Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bia ya Heineken ilivyopamba kwenye Nyama choma Festival Leaders Club

DSC_0859Banda la Heineken lililokuwa kivutio katika tamasha hilo la Nyama Choma, Dj  wa Heineken akitoa burudani kwa wateja na wadau wa bia hiyo waliofurika ndnai ya banda hilo Septemba 5.2015, Nyama Choma Festival.. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tamasha kubwa la Nyama Choma  (Nyama Choma Festival) ambalo ufanyika kila  baada ya miezi mitatu katika mwaka,  safari hii limeendelea kuteka umati mkubwa wa wadau wa Nyama na burudani waliofurika katika viwanja...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Dewji Blog

NYAMA Choma Festival to be held at Leaders Grounds

Nyama Choma

The Nyama Choma Festival, that brings together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation, will officially be held on the 7th February, at Leaders Grounds!!

The festival which is organised by Alta Vista Events, will treat fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus electric live band entertainment from Skylight Band, Yamoto Band  and a line-up of talented entertainers, including [DJK3, Mafuvu,)

Heineken, a proud partner of the event, will give its VIP consumers a...

 

10 years ago

Bongo5

The Nyama Choma Festival to be held at Leaders Grounds this Saturday

Tanzania’s prime Nyama Choma Festival will be held again on 7th February. The festival is among the region’s finest and aims to bring together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation. The festival is organized by Alta Vista Events and will treat fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus […]

 

11 years ago

Michuzi

MAMBO YA HEINEKEN NYAMA CHOMA YALIVYONOGA

Andrew Mahaiga akiwa na rafiki yake Arther Samuel katika tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva, Cpwaa akiwa ndani la tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mpenzi wa burudani akifurahia kuwa ndani ya banda la Heineken ndani ya Nyama Choma festival hivi karibuni. Millard Ayo akitangaza mshindi wa shindano la Heineken ya kwenda Amsterdam nchini Hollanzi, kulia kwake Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Bw. Uche Unigwe. Wapenzi wa...

 

11 years ago

GPL

BIA NA NYAMA CHOMA ISITUTOE ROHO JAMANI!

Mmh haya acha nikubali yaishe sipendi ubishi wa kijinga mie, eti kila kitu na wakati wake, nikibisha utasema najifanya najua kila kitu, lakini ukweli unabaki palepale vyote vina  wakati lakini si mapenzi, mapenzi huongezwa shoga, si kupunguzwa, nani alikuambia katika mapishi kuna vitu hupunguzwa. Sitaki kubishana sana na  wewe unayejiita shangingi wa kisasa, kuna usasa katika mapenzi, mapenzi ukongwe shoga ndo maana...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR KWENYE 'NYAMA CHOMA FESTIVAL' NDANI YA VIWANJA VYA POSTA‏

Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya mashabiki lukuki. Sam Mapenzi wa Skylight Band akishindana na mmoja wa mashabiki kucheza wimbo wa Davido SKELEWU.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitaani nyama choma kwa bia, nyumbani tembele kuchukuchu! 

KATIKA hali ya kawaida sisi binadamu tulivyoumbwa, ni dhahiri hatupendi kabisa shida wala mateso, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiuchumi na kijamii miongoni mwetu, shida ni kama vile tumeingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani