Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Nyama Choma Festival to be held at Leaders Grounds this Saturday

Tanzania’s prime Nyama Choma Festival will be held again on 7th February. The festival is among the region’s finest and aims to bring together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation. The festival is organized by Alta Vista Events and will treat fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NYAMA Choma Festival to be held at Leaders Grounds

Nyama Choma

The Nyama Choma Festival, that brings together meat lovers for an afternoon of fun, music and relaxation, will officially be held on the 7th February, at Leaders Grounds!!

The festival which is organised by Alta Vista Events, will treat fans to a variety of sumptuous flame grilled meats plus electric live band entertainment from Skylight Band, Yamoto Band  and a line-up of talented entertainers, including [DJK3, Mafuvu,)

Heineken, a proud partner of the event, will give its VIP consumers a...

 

10 years ago

Bongo5

Nyama Choma Festival: Dodoma ni wikiendi hii Royal Village, Dar ni Dec 6, UDSM Grounds

Lile tamasha maarufu zaidi la Nyama Choma sasa linahamia pande za Dodoma. Litafanyika Jumamosi hii, November 8 katika kiota cha Royal Village. Usikubali kupitwa na nyama za uhakika zilizochomwa na wachomaji bora zaidi mjini Dodoma, bila kusahau Heineken baridi, juisi za kila aina na vinjwaji vingine. Tamasha hili litarejea tena jijini Dar es Salaam, December […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Bia ya Heineken ilivyopamba kwenye Nyama choma Festival Leaders Club

DSC_0859Banda la Heineken lililokuwa kivutio katika tamasha hilo la Nyama Choma, Dj  wa Heineken akitoa burudani kwa wateja na wadau wa bia hiyo waliofurika ndnai ya banda hilo Septemba 5.2015, Nyama Choma Festival.. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tamasha kubwa la Nyama Choma  (Nyama Choma Festival) ambalo ufanyika kila  baada ya miezi mitatu katika mwaka,  safari hii limeendelea kuteka umati mkubwa wa wadau wa Nyama na burudani waliofurika katika viwanja...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Michuzi

NYAMA CHOMA FESTIVAL

NYAMA CHOMA FESTIVAL-DAR 6 SEPT TICKETS ZINAUZWA SAMAKI SAMAKI YA POSTA NA YA MLIMANI CITY KWA SH 7000 TU.GETINI SH 10,000.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani