Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitaani nyama choma kwa bia, nyumbani tembele kuchukuchu! 

KATIKA hali ya kawaida sisi binadamu tulivyoumbwa, ni dhahiri hatupendi kabisa shida wala mateso, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiuchumi na kijamii miongoni mwetu, shida ni kama vile tumeingia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BIA NA NYAMA CHOMA ISITUTOE ROHO JAMANI!

Mmh haya acha nikubali yaishe sipendi ubishi wa kijinga mie, eti kila kitu na wakati wake, nikibisha utasema najifanya najua kila kitu, lakini ukweli unabaki palepale vyote vina  wakati lakini si mapenzi, mapenzi huongezwa shoga, si kupunguzwa, nani alikuambia katika mapishi kuna vitu hupunguzwa. Sitaki kubishana sana na  wewe unayejiita shangingi wa kisasa, kuna usasa katika mapenzi, mapenzi ukongwe shoga ndo maana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Bia ya Heineken ilivyopamba kwenye Nyama choma Festival Leaders Club

DSC_0859Banda la Heineken lililokuwa kivutio katika tamasha hilo la Nyama Choma, Dj  wa Heineken akitoa burudani kwa wateja na wadau wa bia hiyo waliofurika ndnai ya banda hilo Septemba 5.2015, Nyama Choma Festival.. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tamasha kubwa la Nyama Choma  (Nyama Choma Festival) ambalo ufanyika kila  baada ya miezi mitatu katika mwaka,  safari hii limeendelea kuteka umati mkubwa wa wadau wa Nyama na burudani waliofurika katika viwanja...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wa jimbo la Georgia na Alabama wakutana kwa hafla ya nyama choma Atlanta, GA

DJ. Dullah akiburudisha wakati wa nyama choma hiyo.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

The Nyama Choma Festival Dar 6 Desemba -Jipatie Tiketi Yako Sasa Kwa sh 7000 tu.

Tembelea Vituo Vya Mauzo Ujipatie Tiketi Yako Sasa.1.Samaki Samaki-Mlimani City na Posta2.Tripple 7  - Kawe3.Didis - Oysterbay4.Born 2 Shine - Mwenge

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.

TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya  Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band washeherekea funga mwezi na mashabiki wao kwa burudani ya nguvu, kesho jumamosi tukutane Nyama Choma Festival

1

Joniko Flower  (kulia) akiongoza mashambulizi huku akipewa tafu ya kutoshaaa na Aneth Kushaba (katikati) na Sony Masamba (kushoto).

Kama ilivyo kawaida ya Bendi yako Matata na inayokimbiza Tanzania kwa sasa Ijumaa ya Tarehe 31.11.2014 walipiga bonge moja la show pale Masaki Thai Village, Show hiyo iliandaliwa maalumu kuwashukuru mashabiki wao wanaowapiga sapoti ya nguvu kwenye show zao za kila Mwisho wa wiki.Kama Kawaida Mlangoni ulikuwa ukiingia unapata Glass moja Ya Tequila.Ratiba Yetu...

 

10 years ago

Michuzi

NYAMA CHOMA FESTIVAL

NYAMA CHOMA FESTIVAL-DAR 6 SEPT TICKETS ZINAUZWA SAMAKI SAMAKI YA POSTA NA YA MLIMANI CITY KWA SH 7000 TU.GETINI SH 10,000.

 

10 years ago

TheCitizen

Another nyama choma success story

Going by the long queues of vehicles stretching all the way to Ali Hassan Mwinyi road, it was undeniable that this event has for the last three years been a bid deal for locals. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani