BIA NA NYAMA CHOMA ISITUTOE ROHO JAMANI!
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuTia*mGZTLHbHAbi5QiR81LT4OUat0acyFcDRB4s*jHJfheER0o2rgfsZONwN4Fa4-xkGJSVrXyDBSB8sy*obn/charmikaurhotintransprentdress.jpg?width=650)
Mmh haya acha nikubali yaishe sipendi ubishi wa kijinga mie, eti kila kitu na wakati wake, nikibisha utasema najifanya najua kila kitu, lakini ukweli unabaki palepale vyote vina wakati lakini si mapenzi, mapenzi huongezwa shoga, si kupunguzwa, nani alikuambia katika mapishi kuna vitu hupunguzwa. Sitaki kubishana sana na wewe unayejiita shangingi wa kisasa, kuna usasa katika mapenzi, mapenzi ukongwe shoga ndo maana...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Mitaani nyama choma kwa bia, nyumbani tembele kuchukuchu!Â
KATIKA hali ya kawaida sisi binadamu tulivyoumbwa, ni dhahiri hatupendi kabisa shida wala mateso, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiuchumi na kijamii miongoni mwetu, shida ni kama vile tumeingia...
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Bia ya Heineken ilivyopamba kwenye Nyama choma Festival Leaders Club
Banda la Heineken lililokuwa kivutio katika tamasha hilo la Nyama Choma, Dj wa Heineken akitoa burudani kwa wateja na wadau wa bia hiyo waliofurika ndnai ya banda hilo Septemba 5.2015, Nyama Choma Festival.. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
Tamasha kubwa la Nyama Choma (Nyama Choma Festival) ambalo ufanyika kila baada ya miezi mitatu katika mwaka, safari hii limeendelea kuteka umati mkubwa wa wadau wa Nyama na burudani waliofurika katika viwanja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cKV6TsVCVvg/U_3CjMkhyUI/AAAAAAAGCog/z1S3OkXYC6Q/s72-c/unnamed%2B(94).jpg)
NYAMA CHOMA FESTIVAL
![](http://1.bp.blogspot.com/-cKV6TsVCVvg/U_3CjMkhyUI/AAAAAAAGCog/z1S3OkXYC6Q/s1600/unnamed%2B(94).jpg)
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Shindano la Nyama choma lafunguliwa
10 years ago
TheCitizen13 Feb
Another nyama choma success story
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-R5Xq2VWMkjE/U7EfVRPprSI/AAAAAAAFtmU/Y88wY7g-g2Q/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
MichuziSD EXECUTIVEHOTELMABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA 2015MWANZA
Na Mwandishi Wetu.Mbeya.
SD EXECUTIVE Hotel jijini Mwanza wameibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mswishoni mwa...
11 years ago
Michuzi![](https://lh3.googleusercontent.com/-7viB79zkidI/UyBjKld4pII/AAAAAAAA3Qc/21i0qgVMvHA/s72-c/blogger-image-834971233.jpg)
MAMBO YA HEINEKEN NYAMA CHOMA YALIVYONOGA
![](https://lh3.googleusercontent.com/-7viB79zkidI/UyBjKld4pII/AAAAAAAA3Qc/21i0qgVMvHA/s640/blogger-image-834971233.jpg)
![](https://lh4.googleusercontent.com/-8Su73YJNfPk/UyBjRgd53TI/AAAAAAAA3Qk/ouJ1x8IECgY/s640/blogger-image-1083822633.jpg)
![](https://lh4.googleusercontent.com/-LQ8Uuhm6oCo/UyBjCvXNVVI/AAAAAAAA3QU/BK21bumNTrg/s640/blogger-image--2131503613.jpg)
![](https://lh5.googleusercontent.com/-A0EuA8LBybU/UyBjXh0G0fI/AAAAAAAA3Qs/HGktN87mjEw/s640/blogger-image-1798662514.jpg)
![](https://lh4.googleusercontent.com/-dbMctMm3cuU/UyBjrrgREbI/AAAAAAAA3Q8/FtiByDPgrd0/s640/blogger-image--967196948.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Mapacha Watatu wafunika Nyama Choma
BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu imewapagawisha na kukonga nyoyo za mashabiki wa burudani katika tamasha la Heineken Nyama Choma lililofanyika mwishoni mwa wiki baada ya kupiga shoo...