MICHUANO YA HEINEKEN FOOSBALL YAINGIA FAINALI
Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania,Uche Unigwe (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola Elfu 10 za kimarekani kwa Mmiliki wa Bar ya Didi's,Bwana Hillary ikiwa ni zawadi kwa washindi wa fainali za Mchezo wa Heineken Foosball.Katikati ni washindi hao ambao ni Ntoli Mwaikambo na Eric Duncan Lissa.
Wachezaji wa timu ya Didis, Eric Duncan Lissa (wa kwanza kushoto) akiwa na mwenzake Ntoli Mwaikambo wakichuana vikali na Said Duche (wa kwanza kulia) na Abdala Kassim wa Hasadam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
HEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE TENA HAPA NCHINI

11 years ago
Michuzi.png)
Wawili watinga robo fainali ya Heineken foosball
.png)
.png)
11 years ago
BBCSwahili29 May
CECAFA:Michuano yaingia robo fainali
11 years ago
Michuzi.png)
Michauno ya Heineken foosball yazidi kunoga
.png)
.png)
11 years ago
MichuziMashindano ya Heineken foosball yaendelea jijini Dar
11 years ago
Michuzi.png)
Mambo ya Mashindano ya Heineken foosball Wikiendi hii ya pasaka
.png)
Weekend hii Heineken inakuletea mchezo kabambe wa foosball karibu na pale ulipo. Kushiriki kwa michuano hii unatakiwa kufika eneo husika pata kinwaji cha Heineken, Sajili jina la timu yako na tayari utakuwa umepata nafasi yakushinda tripu kali yakwenda Ibiza Spain kushuhudia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league.
.png)
11 years ago
Michuzi
Michauno ya Heineken foosball yazidi kufana jijini Dar


11 years ago
Michuzi.png)
Washindi wa Mpira wa mezani (Heineken Foosball) wakwea pipa kuelekea Ibiza
.png)
11 years ago
BBCSwahili04 Dec
Tanzania yaingia robo fainali CECAFA