Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM, YANGA KUKIPIGA ROBO FAINALI YA KAGAME CUP KESHO, NANI KUIBUKA KIDEDEA??

Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho na masikio yakiwa kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.Mechi hiyo ya pili inatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kufuatia timu hizo mbili zinatotokea jijini Dar es salaam kuwa na upinzani mkali kuanzia katika Ligi Kuu a Vodacom Tanzania na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Azam FC watinga robo fainali Kagame

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC, jana walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), baada ya kuichapa...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yatinga robo fainali Mapinduzi Cup

Pg 32 leo

TIMU ya Yanga jana ilitinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Polisi ya humo mabao 4-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Timu hizo zilizopo katika Kundi A ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zao za kwanza, ambapo Yanga iliifunga Jango’mbe kwa mabao 4-0, huku Polisi ikiifunga Shaba ya huko kwa bao 1-0.
Shujaa wa Yanga kwenye mchezo huo alikuwa ni winga wake wa kushoto, Mbrazil Andrey...

 

10 years ago

GPL

NANI KUIBUKA KIDEDEA LEO, MAN UTD AU ARSENAL?

Uwanja: Old Trafford Muda: Saa 12 jioni Pointi: Man Utd 68, Arsenal 70 Michezo: Man Utd 36, Arsenal 35

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YATUPWA NJE KAGAME CUP, YAPIGWA 5-4 NA AZAM

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Donard Ngoma akiichambua ngome ya Timu ya Azama, wakati wa Mchezo wao wa robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Kagame, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Azam imeibuka mshindi kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya kutoshana nguvu kwa dakika 90 za mchezo.Mshambuliaji wa Timu ya Azam, John Bocco akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya  Yanga, wakati wa Mchezo wao wa robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Kagame, uliopigwa jioni ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo fainali Kagame kuanza leo

Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Cecafa Kagame Cup itachezwa leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani