Ni Azam, Gor Mahia fainali ya Kagame
AZAM imetinga fainali za kombe la Kagame kwa mara ya pili na sasa itacheza na Gormahia ya Kenya katika fainali zitakazochezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAZAM KUCHEZA FAINALI YA KAGAME NA GOR MAHIA
10 years ago
MichuziAZAM YAINGIA FAINALI YA KAGAME 2015, KUCHEZA NA GOR MAHIA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9POSW8MFFKc/Vb5Vu6LuP5I/AAAAAAAHtYg/j17jK4kS36c/s72-c/MMGL0703.jpg)
AZAM FC YATWAA UBINGWA WA CECAFA KAGAME CUP 2015 KWA KUICHAPA GOR MAHIA YA KENYA BAO 2-0
![](http://4.bp.blogspot.com/-9POSW8MFFKc/Vb5Vu6LuP5I/AAAAAAAHtYg/j17jK4kS36c/s640/MMGL0703.jpg)
Wachezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam wakisherehekea ubingwa wao wa Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, mara baada ya kuitungua timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya Bao 2-0, katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-2WFohPZhZl0/Vb5VsqDnH4I/AAAAAAAHtYI/udQI2KGBnpM/s640/MMGL0595.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Aug
Ni Azam vs Gor Mahia
Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
CECAFA:Gor Mahia yafuzu nusu fainali
Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia wameendeleza fomu yao bora katika kombe la CECAFA kwa kuilaza Malakia ya Sudan Kusini kwa magoli mawili kwa moja na kufuzu kwa nusu fainali.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Gor Mahia, Khartoum zatangulia nusu fainali
TIMU za Khartoum N ya Sudan na Gor Mahiya ya Kenya, jana zilitangulia kutinga nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame baada ya kushinda mechi zao za robo fainali zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
TheCitizen01 Aug
Azam to face Gor Mahia in final
Azam FC booked a place in the final of the 2015 Cecafa Kagame Cup after beating hard-fighting KCCA of Uganda 1-0 at the National Stadium yesterday.
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
CECAFA:Gor Mahia kuchuana na Azam
Kilabu ya Azam kutoka Tanzania imefuzu katika fainali ya kombe la Kagame CeCAFA baada ya kuindoa KCCA ya Uganda kwa bao moja kwa bila katika mechi ya nusu fainali ya pili iliochezwa katika uwanja wa kitaifa wa Dar-es-Salaam nchini Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania