Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM YAINGIA FAINALI YA KAGAME 2015, KUCHEZA NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AZAM KUCHEZA FAINALI YA KAGAME NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana...

 

10 years ago

Habarileo

Ni Azam, Gor Mahia fainali ya Kagame

AZAM imetinga fainali za kombe la Kagame kwa mara ya pili na sasa itacheza na Gormahia ya Kenya katika fainali zitakazochezwa kesho kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

AZAM FC YATWAA UBINGWA WA CECAFA KAGAME CUP 2015 KWA KUICHAPA GOR MAHIA YA KENYA BAO 2-0


Wachezaji wa timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam wakisherehekea ubingwa wao wa Kombe la Cecafa Kagame Cup 2015, mara baada ya kuitungua timu ya Gor Mahia ya nchini Kenya Bao 2-0, katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo.Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Mhe. Eugene Segore Kayihura (wa pili kulia) akikabidhi kitita cha Dola za Kimarekani eflu 30 kwa Nahodha wa Timu ya Azam FC, John Bocco "Adebayor" ikiwa ni zawadi ya ushindi wa kwanza iliyotolewa na...

 

10 years ago

Vijimambo

CECAFA YATOA RATIBA YA KAGAME 2015, YANGA KUKATA UTEPE NA GOR MAHIA TOKA KENYA


Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Julai 18, 2015 na kumalizika Agosti 2 mwaka huu jijii Dar es salaam.
Akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi za TFF zilizopo Karume, Tenga ameishukuru serikali ya Tanzania na TFF kwa kukubali kuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa, vyombo vya habari na wapenzi wa mpira wa miguu nchini kwa sapoti yao na kuipokea kwa mikono...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Azam vs Gor Mahia

Azam imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame mwaka 2015 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Jumapili baada ya kuifunga KCCA ya Uganda kwa bao 1-0, kwenye mchezo wa nusu fainali uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Gor Mahia yafuzu nusu fainali

Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia wameendeleza fomu yao bora katika kombe la CECAFA kwa kuilaza Malakia ya Sudan Kusini kwa magoli mawili kwa moja na kufuzu kwa nusu fainali.

 

10 years ago

Habarileo

Gor Mahia, Khartoum zatangulia nusu fainali

TIMU za Khartoum N ya Sudan na Gor Mahiya ya Kenya, jana zilitangulia kutinga nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Kagame baada ya kushinda mechi zao za robo fainali zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

TheCitizen

Azam to face Gor Mahia in final

Azam FC booked a place in the final of the 2015 Cecafa Kagame Cup after beating hard-fighting KCCA of Uganda 1-0 at the National Stadium yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani