Tigo yadhamini Mabaharia watoto 10 kuwakilisha Tanzania Mashindano ya Mitumbwi Afrika
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo safari ya timu ya Taifa ya watoto waendesha mitumbwi inayoelekea nchini Morocco kushiriki mashindanoya wakimbiza mitumbwi mwezi ujao.
Na Mwandishi wetu
Tigo Tanzania imetangaza udhamini wake kwa timu ya taifa ya watoto wadogo waendesha mitumbwi, timu ambayo inaundwa na mabaharia watoto 10 waliochaguliwa na shirikisho la mitumbwi midogo ya watoto...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Kampuni ya Tigo yadhamini mashindano ya Uvuvi ya wazi Slipway
Wasimamizi wa shindano la wazi la uvuvi la Slipway wakipima mmoja kati ya samaki walioshindanishwa kwenye shindano hilo lililodhaminiwa na Tigo jana.
Sehemu ya muonekano ambapo mashabiki walikuwa wakisubiria wavuvi kutoka baharini.
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma toka kwa watoa huduma wa Tigo ikiwa ni sehemu mojawapo ya huduma zilizokuwa zinapatikana kwenye shindano hilo.
Washindi wa kwanza shindano la wazi la uvuvi Slipway ambao walijishindia mashine ya Yamaha, kutoka...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar
Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.
Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...
10 years ago
GPLBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Mwanamitindo Jocktan Makeke kuwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya TDWFS nchini Afrka Kusini
Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo bora sasa.
Msanii huyu ambaye ndio mwanzilishi ya kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO. LTD atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini Afrika Kusini kufanya maajabu kwa mara nyingine katika...
10 years ago
MichuziBALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Tigo yadhamini tamasha la Mnazi Mkinda
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo John Wanyancha akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala, tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu, kushoto kwake ni Afisa Elimu wa Wilaya ya Ilala Bi Elizabeth Thomas.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la...
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Tigo yadhamini gulio la Annual Charity Baazar
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.
Mtoa huduma wa Tigo, Khalid Omary akitoa huduma kwa wateja wa Tigo kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii. Watoa huduma wa Tigo, Joshua Samuel na Judith Alfred wakitoa huduma kwa mteja...
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Tigo yadhamini Tamasha la Mnazi Mkinda 2015
Wanafunzi wa Shule mbalimbali za msingi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakiingia kijeshi katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja wakati Tamasha la Mnazi Mkinda.
Vijana wakitoa heshima ya saluti.
Maandamano ya wanafunzi yakitoa salamu jukwaa kuu.
Mgeni rasmi Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Kiduma Mageni akikagua gwaride la wanafunzi lililoandaliwa rasmi wakati wa Tamasha la Mnazi Mkinda 2015.
Meneja Mawasiliano kutoka Tigo, Bwana John Wanyancha (wa pili kushoto) akijumuika na...
11 years ago
Dewji Blog12 May
Tigo yadhamini maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania
Mfanyabiashara wa vifaa vya mapambo ya ndani vyenye asili ya Kitanzania wa duka la Zamani Dhow, Bw. Nordety Cornellius akiwahudumia wateja waliofika bandani kwake wakati wa maonyesho ya bidhaa za mapambo yaliodhaminiwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki.
Wateja waliohudhuria maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania wakiangalia bidhaa mbalimbali, maonyesho hayo yaliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, kampuni ya Tigo ilikuwa wadhamini.