Tigo yadhamini tamasha la Mnazi Mkinda
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo John Wanyancha akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala, tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu, kushoto kwake ni Afisa Elimu wa Wilaya ya Ilala Bi Elizabeth Thomas.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Tigo yadhamini Tamasha la Mnazi Mkinda 2015
Wanafunzi wa Shule mbalimbali za msingi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakiingia kijeshi katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja wakati Tamasha la Mnazi Mkinda.
Vijana wakitoa heshima ya saluti.
Maandamano ya wanafunzi yakitoa salamu jukwaa kuu.
Mgeni rasmi Katibu Tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Kiduma Mageni akikagua gwaride la wanafunzi lililoandaliwa rasmi wakati wa Tamasha la Mnazi Mkinda 2015.
Meneja Mawasiliano kutoka Tigo, Bwana John Wanyancha (wa pili kushoto) akijumuika na...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Tigo yadhamini Tamasha kubwa la Mtikisiko mjini Songea
Wasanii chipukizi wa Songea, Mary na Mwana King Nizo wakitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Kikundi cha Ruvuma Kings toka songea kikitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Sehemu ya wateja wa tigo...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Tigo yadhamini tamasha kubwa la muziki mikoa ya kusini
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga (katikati walioketi) akielezea sababu za kampuni hiyo kudhamini tamasha la muziki (Mtikisiko) kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Tamasha hilo litakalofanyika Songea, Njombe, Iringa na Mbeya kuanzia
kesho tamasha hilo limeandaliwa na Redio Ebony FM ya mjini Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Tigo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga.
Kampuni...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tigo yadhamini maonesho ya kuinua tasnia ya filamu
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini wa Tigo, Bw. David Charles akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha (AAFF) yatakayofanyika Septemba 20 mpaka 27 jijini Arusha. Kushoto kwake Meneja wa maonesho ya AAFF, Bi. Mary Birdi.
Tigo Tanzania leo imetangaza udhamini wake kwa maonesho ya filamu barani Afrika yatakayofanyika mkoani Arusha kuanzia Jumamosi wiki hii. Maonesho hayo ya wiki moja yanayojulikana...
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Tigo yadhamini gulio la Annual Charity Baazar
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.
11 years ago
Dewji Blog12 May
Tigo yadhamini maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania
Mfanyabiashara wa vifaa vya mapambo ya ndani vyenye asili ya Kitanzania wa duka la Zamani Dhow, Bw. Nordety Cornellius akiwahudumia wateja waliofika bandani kwake wakati wa maonyesho ya bidhaa za mapambo yaliodhaminiwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki.
Wateja waliohudhuria maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania wakiangalia bidhaa mbalimbali, maonyesho hayo yaliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, kampuni ya Tigo ilikuwa wadhamini.
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Kampuni ya Tigo yadhamini mashindano ya Uvuvi ya wazi Slipway
Wasimamizi wa shindano la wazi la uvuvi la Slipway wakipima mmoja kati ya samaki walioshindanishwa kwenye shindano hilo lililodhaminiwa na Tigo jana.
Sehemu ya muonekano ambapo mashabiki walikuwa wakisubiria wavuvi kutoka baharini.
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma toka kwa watoa huduma wa Tigo ikiwa ni sehemu mojawapo ya huduma zilizokuwa zinapatikana kwenye shindano hilo.
Washindi wa kwanza shindano la wazi la uvuvi Slipway ambao walijishindia mashine ya Yamaha, kutoka...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
Kampuni ya TIGO yadhamini kongamano la wanachuo wa IAA Arusha
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/23.jpg)
![7](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/71.jpg)
![4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/42.jpg)
![6](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/63.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar
Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.
Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...