Tigo yadhamini maonesho ya kuinua tasnia ya filamu
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini wa Tigo, Bw. David Charles akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha (AAFF) yatakayofanyika Septemba 20 mpaka 27 jijini Arusha. Kushoto kwake Meneja wa maonesho ya AAFF, Bi. Mary Birdi.
Tigo Tanzania leo imetangaza udhamini wake kwa maonesho ya filamu barani Afrika yatakayofanyika mkoani Arusha kuanzia Jumamosi wiki hii. Maonesho hayo ya wiki moja yanayojulikana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta
Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo.
Baadhi ya mabanda ambayo wadau mbalimbali wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walihudhuria.
Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha...
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tigo yapamba uzinduzi wa maonesho ya filamu AAFF jijini Arusha
Mkurugenzi wa Tigo wa Kanda ya Kaskazini David Charles akizungumza na wadau wa filamu (hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa simulizi za Kiafrika kupitia filamu na mchango wake katika kukuza utamaduni wa Kitanzania hususan lugha ya Kiswahili kwa upande wa Tanzania na Afrika Mashariki.
Kikundi cha ngoma kinachoitwa ‘AfriCulture Group’ kikitoa burudani wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ya wiki nzima jijini Arusha yaliyodhaminiwa na Tigo.
Mkurugenzi wa Tigo wa Kanda ya Kaskazini David Charles...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Maonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha
Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF) aliyeshinda kupitia filamu yake mpya iitwayo “Consigned to Oblivion.” Maonesho hayo yaliyodhaminiwa na Tigo yalifikia tamati juzi.
Mratibu wa maonesho ya AAFF Nassir Mohamed akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Muongozaji filamu kutoka Tanzania Amil Shivji aliyeshinda tuzo ya ‘Best Short...
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s1600/unnamed+(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jgjF-mr0UUU/Uu-ZprOo1wI/AAAAAAAFKsk/5AGV2k4Fr-o/s1600/unnamed+(46).jpg)
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa