Maonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha
Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF) aliyeshinda kupitia filamu yake mpya iitwayo “Consigned to Oblivion.” Maonesho hayo yaliyodhaminiwa na Tigo yalifikia tamati juzi.
Mratibu wa maonesho ya AAFF Nassir Mohamed akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Muongozaji filamu kutoka Tanzania Amil Shivji aliyeshinda tuzo ya ‘Best Short...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Tigo yapamba uzinduzi wa maonesho ya filamu AAFF jijini Arusha
Mkurugenzi wa Tigo wa Kanda ya Kaskazini David Charles akizungumza na wadau wa filamu (hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa simulizi za Kiafrika kupitia filamu na mchango wake katika kukuza utamaduni wa Kitanzania hususan lugha ya Kiswahili kwa upande wa Tanzania na Afrika Mashariki.
Kikundi cha ngoma kinachoitwa ‘AfriCulture Group’ kikitoa burudani wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ya wiki nzima jijini Arusha yaliyodhaminiwa na Tigo.
Mkurugenzi wa Tigo wa Kanda ya Kaskazini David Charles...
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Tigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyo waliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamasha lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.
Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tigo yadhamini maonesho ya kuinua tasnia ya filamu
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini wa Tigo, Bw. David Charles akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha (AAFF) yatakayofanyika Septemba 20 mpaka 27 jijini Arusha. Kushoto kwake Meneja wa maonesho ya AAFF, Bi. Mary Birdi.
Tigo Tanzania leo imetangaza udhamini wake kwa maonesho ya filamu barani Afrika yatakayofanyika mkoani Arusha kuanzia Jumamosi wiki hii. Maonesho hayo ya wiki moja yanayojulikana...
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Madola yamalizika kwa kishindo
9 years ago
MichuziMAGUFULI AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA,APOKELEWA KWA KISHINDO.
11 years ago
MichuziCastle Lager Perfect Six ngazi ya kanda yamalizika kwa kishindo
Mashindano ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya fainali za Kanda yamefikia tamati kwa kishindo baada ya timu ya Green City ya Jijini Mbeya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Castle Lager Perfect Six baada ya kuichabanga Timu ya Savannah kutoka Mkoani Iringa kwa mabao 8-3. ...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Tigo yadhamini safari ya mwendesha Baiskeli Elvis Munis “Lelo” kutoka Chile hadi Kilimanjaro apokelewa jijini Arusha kwa shwangwe
Mwendesha baiskeli Elvis Munis “Lelo” ambaye ameendesha baiskeli jumla ya nchi 47, kilomita 28,000 kutoka Chile hadi Kilimanjaro(Chile to Kili) akipokewa mjini Arusha juzi, Mwendesha baiskeli huyo amezunguka nchi mbalimbali kwa lengo kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC,safari yake ilipata udhamini kutoka kampuni ya simu za Mikononi Tigo.
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Tigo yafungua duka lililokarabatiwa Jijini Arusha
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akikata utepe kuzindua Tawi la Kampuni ya Tigo mjini Arusha,wanaoshuhudia kulia ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe na kushoto ni Mwangaza Matotola, Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akangalia bidhaa zilizomo ndani ya Duka la Tigo mara baada ya kuzindua duka hilo, kulia kwake anayetoa maelekezo ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya...