Tigo yadhamini safari ya mwendesha Baiskeli Elvis Munis “Lelo” kutoka Chile hadi Kilimanjaro apokelewa jijini Arusha kwa shwangwe
Mwendesha baiskeli Elvis Munis “Lelo” ambaye ameendesha baiskeli jumla ya nchi 47, kilomita 28,000 kutoka Chile hadi Kilimanjaro(Chile to Kili) akipokewa mjini Arusha juzi, Mwendesha baiskeli huyo amezunguka nchi mbalimbali kwa lengo kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC,safari yake ilipata udhamini kutoka kampuni ya simu za Mikononi Tigo.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Tigo yadhamini safari ya mwendesha Baiskeli kutoka Chile hadi Kilimanjaro!
Mwendesha baiskeli Elvis Munis “Lelo” ambaye ameendesha baiskeli jumla ya nchi 47, kilomita 28,000 kutoka Chile hadi Kilimanjaro(Chile to Kili) akipokewa mjini Arusha juzi, Mwendesha baiskeli huyo amezunguka nchi mbalimbali kwa lengo kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC,safari yake ilipata udhamini kutoka kampuni ya simu za Mikononi Tigo.
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Tigo yadhamini onesho la mwanamuziki Moussa Diallo kutoka nchini Mali litafanyika jijini Dar leo
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya Tigo, John Wanyanja (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kampuni hiyo kudhamini onesho la mwanamuziki Mousa Diallo kutoka nchini Mali litakalofanyika leo katika Mgahawa wa Chakula na Vinywaji wa Samaki Samaki, Masaki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Masoko wa Mgahawa wa Samaki Samaki, Saum Wengert na katikati ni Mwanamuziki, Moussa Diallo.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Tigo yadhamini shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana jijini Dar es Salaam
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Mwanzilishi wa Apps & Girls Bi. Carolyne Ekyamsiima akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana. Mradi huu upo...
10 years ago
Dewji Blog14 Apr
Kampuni ya TIGO yadhamini kongamano la wanachuo wa IAA Arusha




10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AFUNGA KAZI JIJINI ARUSHA,APOKELEWA KWA KISHINDO.



10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar
Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.
Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
Shirika la Ndege la FASTJET lazindua safari mpya kutoka Kilimanjaro — Mwanza na Kilimanjaro — Entebe Uganda
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni yake kulia ni Lucy Mbogoro Afisa Mahusiano na Masoko na kushoto ni Neema David Afisa Biashara wote toka shirika hilo.
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka Tbc Sechelela...
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Maonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha
Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF) aliyeshinda kupitia filamu yake mpya iitwayo “Consigned to Oblivion.” Maonesho hayo yaliyodhaminiwa na Tigo yalifikia tamati juzi.
Mratibu wa maonesho ya AAFF Nassir Mohamed akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Muongozaji filamu kutoka Tanzania Amil Shivji aliyeshinda tuzo ya ‘Best Short...
11 years ago
GPL
BODABODA YAUA MWENDESHA BAISKELI TANGA