Tigo Welcome Pack yamalizika kwa kishindo mjini Mtwara
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyo waliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamasha lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.
Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Maonesho ya filamu yaliyodhaminiwa na Tigo yamalizika kwa kishindo Jijini Arusha
Mtalaam wa Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akikabidhi tuzo ya ‘Tigo Best Short Film’ kwa Mtayarishaji wa Filamu kutoka Kenya Mark Maina katika Maonesho ya Filamu ya Kiafrika Arusha (AAFF) aliyeshinda kupitia filamu yake mpya iitwayo “Consigned to Oblivion.” Maonesho hayo yaliyodhaminiwa na Tigo yalifikia tamati juzi.
Mratibu wa maonesho ya AAFF Nassir Mohamed akionyesha tuzo aliyoipokea kwa niaba ya Muongozaji filamu kutoka Tanzania Amil Shivji aliyeshinda tuzo ya ‘Best Short...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Tamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha Mjini Kigoma
Msanii Alex Chalamila maarufu kama MCRegan akiburudisha katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii nguli wa hiphop nchini Joseph Haule a.k.a Prof J akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome pack huku akisindikizwa na wasanii wa kundi la Origional Comedy kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii wa Bongo Flava Sunday Mjeda (Linex) akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome...
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Madola yamalizika kwa kishindo
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7JnsgTj7XH8/U7FpEpzm_3I/AAAAAAAAkJ4/q1E8M1VZ33w/s72-c/unnamed.jpg)
Castle Lager Perfect Six ngazi ya kanda yamalizika kwa kishindo
![](http://4.bp.blogspot.com/-7JnsgTj7XH8/U7FpEpzm_3I/AAAAAAAAkJ4/q1E8M1VZ33w/s1600/unnamed.jpg)
Mashindano ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya fainali za Kanda yamefikia tamati kwa kishindo baada ya timu ya Green City ya Jijini Mbeya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Castle Lager Perfect Six baada ya kuichabanga Timu ya Savannah kutoka Mkoani Iringa kwa mabao 8-3. ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qcoq3A20VdE/VFc7-cUr-UI/AAAAAAACuOk/EJYG_cWRsA0/s72-c/group%2Bpicture%2BHOT.jpg)
MAFUNZO YA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO MKOANI MTWARA YAMALIZIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-qcoq3A20VdE/VFc7-cUr-UI/AAAAAAACuOk/EJYG_cWRsA0/s1600/group%2Bpicture%2BHOT.jpg)
Akibainisha aina ya mafunzo ya ujasiriamali waliyopata vijana hao, ErickMchome Afisa Mahusiano wa Statoil-Tanzania amesema kuwaMafunzo waliyopata vijana hao yamelenga kuwawezesha vijana kuandika mpango wa biashara ikiwa ni hatua ya awali katika harakati za ujasiriamali.
Pamoja na hilo...
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Ziara ya Tigo Welcome Pack yatikisa Mkoani Kagera
Msanii wa Bongo fleva Sunday Mjeda maarufu Linex akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.
Wasanii Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji na Slivery Mujuni maarufu Mpoki wakitoa burudani kwa wakazi wa Bukoba waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba wakati wa onesho la Tigo welcome pack.
Wasanii wa kundi la Original...
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Tigo yazindua huduma mpya ya ‘Welcome Pack’ Mkoani Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Dkt. Christine Ishengoma akisalimiana na Mkurugenzi mkuu wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jackson Kiswaga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kifurushi kipya cha tigo cha welcome pack mkoani Iringa, kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakiak 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Tigo Tanzania leo imezindua kifurushi kipya...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Tamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha wakazi wa Mji wa Moshi
Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye uwanja wa Ushirika Mjini Moshi wakati wa kampeni ya kifurushi cha Tigo welcome pack, Kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Msanii Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa raha wakazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Tamasha kubwa la Tigo welcome pack lafana mkoani Arusha
Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group Mkoani Arusha kikiwapa burudani wakazi wa mkoa huo waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Wasanii wa...