Tigo yazindua huduma mpya ya ‘Welcome Pack’ Mkoani Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Dkt. Christine Ishengoma akisalimiana na Mkurugenzi mkuu wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jackson Kiswaga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kifurushi kipya cha tigo cha welcome pack mkoani Iringa, kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakiak 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Tigo Tanzania leo imezindua kifurushi kipya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Ziara ya Tigo Welcome Pack yatikisa Mkoani Kagera
Msanii wa Bongo fleva Sunday Mjeda maarufu Linex akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.
Wasanii Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji na Slivery Mujuni maarufu Mpoki wakitoa burudani kwa wakazi wa Bukoba waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba wakati wa onesho la Tigo welcome pack.
Wasanii wa kundi la Original...
11 years ago
Dewji Blog27 Oct
Tamasha kubwa la Tigo welcome pack lafana mkoani Arusha
Wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Manyara Group Mkoani Arusha kikiwapa burudani wakazi wa mkoa huo waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
Wasanii wa...
10 years ago
GPLTIGO YAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU, KUZUIA WIZI WA SIMU
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampuni ya Tigo yazindua minara Mkoani Geita
Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa(aliyevaa suti)akikata utepe kuzindua mnara mpya wa mtandao wa Tigo katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe Mkoani Geita.
Meneja Masoko wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mashauri (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa,alipofika kuzindua mnara mpya katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa,akiongozana na wananchi kuondoka baada ya kuzindua mnara wa Tigo katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani...
10 years ago
GPLTIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Tamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha Mjini Kigoma
Msanii Alex Chalamila maarufu kama MCRegan akiburudisha katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii nguli wa hiphop nchini Joseph Haule a.k.a Prof J akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome pack huku akisindikizwa na wasanii wa kundi la Origional Comedy kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii wa Bongo Flava Sunday Mjeda (Linex) akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Airtel yazindua huduma mpya
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza rasmi huduma ya kisasa ya kifedha kupitia huduma ya Airtel Money. Huduma hiyo mpya ya kibunifu itatoa uzoefu tofauti wa huduma za...
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Bayport yazindua huduma mpya
TAASISI ya kifedha ya Bayport Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wa kampuni zilizoidhinishwa na...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua chapa mpya LIVE IT, LOVE IT kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas
Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja...